Ngoma na miziki yote kwa sasa inapigwa Lumumba, Ufipa wamebaki kudemka tu!!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Inavyoonekana siasa za nchi hii zimeelemewa na CCM maana pamoja na wapinzani kuwa katikati ya changamoto lukuki, bado habari zao hazipewi nafasi kubwa ya kuzungumzwa hasa humu mitandaoni.

Kwa muda mrefu sana majina yaliyovutia mijadala mingi ni pamoja na Samia, Polepole, Nape, Sabaya, Shaka, Ndugai, Msukuma, Mwendazake, nk.

Hawa wote ni makada wa CCM.

Kwenye siasa kutajwatajwa na kujadiliwa na watu whether positively or negatively ni afya.

Ukiacha Covid-19 na kesi ya ugaidi ya mwenyekiti hakuna jina lingine Kutoka upinzani linalovutia mijadala ya watanzania.

Cha ajabu ni kwamba kumetokea fursa za wapinzani kuibukia ila hawajazitumia sijui kwa nini.

Masuala kama machinga,kupanda kwa bei, tozo, ukosefu wa mbolea, nk. Haya yalikua jukwaa rahisi sana kwa wapinzani, ila nadhani kufanya siasa za mazoea kunawafanya wakomae na madai hewa ya katiba mpya.
 
Kwa msaada ya yule refa wenu kule mahakamani kwa Mbowe, naona kelele zote zinatoka kwenu japo mnapiga kelele huku mkiona aibu vichwa chini, kila siku mnatuonesha viwango vyenu tofauti vya ujinga kule mahakamani mnazidi kupanda tu kama kilimanjaro.
 
Kwa hiyo unasemaje, unatakaje ndugu mbambikaji🤸.
Anzisheni kampeni zinazogusa hisia za wananchi walio wengi na si hoja za kufikirika kama vile chadema dijito mara katiba mpya twende na mambo ambayo hata wanaccm wa kawaida kabisa yatawaingia kichwani mf. Ukimuambia mtu napigania tozo iondolewe au napambana machinga warudishwe maeneo yao au walipwe fidia baada ya kuondolewa hapo hata raia wa kawaida awe ccm au chadema ataona unapigania maslahi yake lkn hii mambo yenu itaua chama
 
Kwa msaada ya yule refa wenu kule mahakamani kwa Mbowe, naona kelele zote zinatoka kwenu japo mnapiga kelele huku mkiona aibu vichwa chini, kila siku mnatuonesha viwango vyenu tofauti vya ujinga kule mahakamani mnazidi kupanda tu kama kilimanjaro.
Siasa ni mapambano ambayo lazima utumie akili nyingi kupambana na nguvu kidogo wakati huo ni lazima uchague kusimama na jambo unaloona linaeleweka na kupokelewa na walio wengi badala ya kukomaa na jambo ambalo inakubidi uanzishe kwanza darasa la kuelimisha watu siasa haikupi muda huo.
 
Anzisheni kampeni zinazogusa hisia za wananchi walio wengi na si hoja za kufikirika kama vile chadema dijito mara katiba mpya twende na mambo ambayo hata wanaccm wa kawaida kabisa yatawaingia kichwani mf. Ukimuambia mtu napigania tozo iondolewe au napambana machinga warudishwe maeneo yao au walipwe fidia baada ya kuondolewa hapo hata raia wa kawaida awe ccm au chadema ataona unapigania maslahi yake lkn hii mambo yenu itaua chama
Katiba mpya kwako kwenu haiwaaingii akilini, kwa hiyo agenda yenu ya sasa ni ubambikaji Ili kuiua chadema inayowanyima usingizi. Kama Hilo sii lakitafa na lakizalendo, kwani hata zuzu hahitaji kuambiwa umuhimu wa lile walifanyalo hao chadema🤸🤸.
 
Inavyoonekana siasa za nchi hii zimeelemewa na CCM maana pamoja na wapinzani kuwa katikati ya changamoto lukuki, bado habari zao hazipewi nafasi kubwa ya kuzungumzwa hasa humu mitandaoni.

Kwa muda mrefu sana majina yaliyovutia mijadala mingi ni pamoja na Samia, Polepole, Nape, Sabaya, Shaka, Ndugai, Msukuma, Mwendazake, nk.

Hawa wote ni makada wa CCM.

Kwenye siasa kutajwatajwa na kujadiliwa na watu whether positively or negatively ni afya.

Ukiacha Covid-19 na kesi ya ugaidi ya mwenyekiti hakuna jina lingine Kutoka upinzani linalovutia mijadala ya watanzania.

Cha ajabu ni kwamba kumetokea fursa za wapinzani kuibukia ila hawajazitumia sijui kwa nini.

Masuala kama machinga,kupanda kwa bei, tozo, ukosefu wa mbolea, nk. Haya yalikua jukwaa rahisi sana kwa wapinzani, ila nadhani kufanya siasa za mazoea kunawafanya wakomae na madai hewa ya katiba mpya.
CHADEMA ilishakufa mbona
 
Bunge la Ndungai lina wapinzani?
 
Na pia hata kama wangedandia hizo hoja hapo kwenye para yako ya mwisho, wasingeambua chochote kwani CCM, vyombo vyake vya utendaji na wapenzi wao wangezishukia hizo hoja kinzani kwa kishindo na hatimaye waonekane "wapuuzi" tu.
 
Inavyoonekana siasa za nchi hii zimeelemewa na CCM maana pamoja na wapinzani kuwa katikati ya changamoto lukuki, bado habari zao hazipewi nafasi kubwa ya kuzungumzwa hasa humu mitandaoni.

Kwa muda mrefu sana majina yaliyovutia mijadala mingi ni pamoja na Samia, Polepole, Nape, Sabaya, Shaka, Ndugai, Msukuma, Mwendazake, nk.

Hawa wote ni makada wa CCM.

Kwenye siasa kutajwatajwa na kujadiliwa na watu whether positively or negatively ni afya.

Ukiacha Covid-19 na kesi ya ugaidi ya mwenyekiti hakuna jina lingine Kutoka upinzani linalovutia mijadala ya watanzania.

Cha ajabu ni kwamba kumetokea fursa za wapinzani kuibukia ila hawajazitumia sijui kwa nini.

Masuala kama machinga,kupanda kwa bei, tozo, ukosefu wa mbolea, nk. Haya yalikua jukwaa rahisi sana kwa wapinzani, ila nadhani kufanya siasa za mazoea kunawafanya wakomae na madai hewa ya katiba mpya.
Wakiyasemea hayo masuala hamchelewi kusema "wanasiasa wa matukio". Akili zenu mnazijua wenyewe. Kuna utafiti fulani wa Twaweza uliwahi kuja na majibu kwamba CCM inapendwa zaidi na watu wenye elimu ndogo.
 
Unayosema ni msaada kwao ila kwa umbumbumbu watakuja kukutukana. Nami nimewahi sema kuwa CDM hakina siasa za mwananchi. Wakae wakomae na tatizo la ajira, bei ya mazao, gharama za mafuta ya kula, ujenzi etc waone chama kitakavyopata nguvu. Wanakomaa ma mambo ambayo wananchi wanaona hayana faida kwao.
 
aka mazuzu🤸.
 
Alaaaniwe yule aliyejifia madarakani Machi 2021 maana ndo chanzo cha vitu vyote hivi.
 
Unayosema ni msaada kwao ila kwa umbumbumbu watakuja kukutukana. Nami nimewahi sema kuwa CDM hakina siasa za mwananchi. Wakae wakomae na tatizo la ajira, bei ya mazao, gharama za mafuta ya kula, ujenzi etc waone chama kitakavyopata nguvu. Wanakomaa ma mambo ambayo wananchi wanaona hayana faida kwao.
Wapi???? Bungeni kwa msaada wa Ndungai,Magufuri na Mahera mmewaondoa,uraiani kwa msaada wa polisi,TISS na wasiojulikana chini ya usimamizi wa Sirro na Mwigulu Nchemba mnawapuruni na kuwabambikia kesi,hizo watazitolea kupitia sehemu zao za siri au??
 
"Tumewaondoa" mimi na nani? Tatizo mnafikiri kila anaetoa ushauri ambao hamjaupenda basi ni upande wa CCM. Hizo siyo siasa ni ushabiki, na CDM wengi wapi hivyo. Sawa mmeminywa uhuru wa kujieleza lakini bado mmeweza kuongelea katiba mpya. Jukwaa mliloongelea katiba mpya ndiyo hilo mngeongelea unyonyaji kwa wakulima wa korodho, kahawa na mahindi, tatizo la ajira nk. Mambo yanayogusa wananchi.
 
Back
Top Bottom