Ngoma na miziki yote kwa sasa inapigwa Lumumba, Ufipa wamebaki kudemka tu!!

Mbowe anafanya nini kwa kesi ya ugaidi kule mahabusu kama siyo swla kuongelea katiba mpya??
 
Kama mtoa maada alivyosema, ishu ya katiba mpya haimgusi mwananchi na ni kazi mwananchi kuielewa. Unafikiri mkulima huko Namtumbo anajua chochote juu ya katiba mpya.
 
Mbona Dua lishampata mkuu, saizi yuko pale chato anaoza tu[emoji91][emoji91][emoji91]
Hayo ni mawazo finyu na inaonesha ulipo na nafasi yako katika jamii ya wastaarabu! Zungumzia walio HAI achana na siasa za TOBO za kuzungumzia HAYATIs! Au ukipenda na kama unaweza basi zungumzia your MAREHEMUs! Naamini unajua tofauti kati yao!
 
Kama mtoa maada alivyosema, ishu ya katiba mpya haimgusi mwananchi na ni kazi mwananchi kuielewa. Unafikiri mkulima huko Namtumbo anajua chochote juu ya katiba mpya.
Kwa hiyo mkaamua kumsingizia Mbowe kesi ya ugaidi ili kuzima mchakato wa Katiba mpya yenye faida kwako na kwa mkulima wa Namtumbo pamoja na ccm wote wa kizazi cha leo na kizazi kijacho.
 
Hayo ni mawazo finyu na inaonesha ulipo na nafasi yako katika jamii ya wastaarabu! Zungumzia walio HAI achana na siasa za TOBO za kuzungumzia HAYATIs! Au ukipenda na kama unaweza basi zungumzia your MAREHEMUs! Naamini unajua tofauti kati yao!
Chanzo cha matatizo ya leo ni Marehemu,haongelewi kama kebehi bali mfano kwa walio hai wasije rudia upumbavu wa mwendazake.
 
L

Lete hoja na uthibitisho kuwa "matatizo" ya leo yaliletwa na shujaa wetu JPM, mnaye muita hayo majina! Lete hoja twende kazi!
 
Kwa hiyo mkaamua kumsingizia Mbowe kesi ya ugaidi ili kuzima mchakato wa Katiba mpya yenye faida kwako na kwa mkulima wa Namtumbo pamoja na ccm wote wa kizazi cha leo na kizazi kijacho.
Wakulima huku Namtumbo hatujui jinsi katiba mpya itakavyoongeza bei ya mahindi yetu na kushusha gharama za mbolea. Msimu wa kilimo unaanza, tunahitaji mbolea ya bei ndogo.
 
Hivi kwa akili yako unadhani kelele za mbowe zingeweza kutisha kwa kiwango cha kusababisha serikali irudishe mchakato wa katiba mpya!?
 
Na kwa bahati mbaya ni kwamba ccm hujitetea kwamba serikali yake iliruhusu mchakato wa kuandika katiba mpya na ikatumia mabilioni ya pesa ila haohao wapinzani walisusia mchakato leo hii wanataka nini ni wasumbufu tu!!
 
Itatuchukua muda mrefu kupata tena kizazi chenye uthubutu wa kufanya siasa za upinzani za kinchi
 
L

Lete hoja na uthibitisho kuwa "matatizo" ya leo yaliletwa na shujaa wetu JPM, mnaye muita hayo majina! Lete hoja twende kazi!
Hoja ni hiyo hiyo mkuu usilete ubabaishaji,kwanza wabunge wa vyama vya upinzani wam
Wakulima huku Namtumbo hatujui jinsi katiba mpya itakavyoongeza bei ya mahindi yetu na kushusha gharama za mbolea. Msimu wa kilimo unaanza, tunahitaji mbolea ya bei ndogo.
Wakulima wa Namtumbo hawawezi elewa hatima yao ya bei za mazao yao kama hawana katiba imara inayotambuwa haki na wajibu wa kila mwananchi kuanzia raia wa kawaida hadi viongozi wakuu wa Serikali,kumbuka katiba imara chanzo cha maendeleo endelevu.
 
Hivi kwa akili yako unadhani kelele za mbowe zingeweza kutisha kwa kiwango cha kusababisha serikali irudishe mchakato wa katiba mpya!?
Ndiyo maana wakamfungulia kesi ya ugaidi ili kumpotezea muda na kuwavuruga chadema kisaikolojia.
 
KWANI weye waanza na ipi hapo? Lini?
 
Utasikia wapi habari za chadema wakati habari zinazotamba ni za ndugai kubwabwaja kuhusu udhaifu wake hadi kutishia kuwashughulikia wanaomsema na habari za mkurugenzi mkuu wa TPDC kukana tamko lake la uhaba wa mafuta?
 
Hakuna wapinzani now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…