LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mwanzoni Mamelody waliweka kiingilio Rands 20 .
Then Injinia wa mpira, Hersi Said akatangaza kiingilio bure kwa kila shabiki wa Yanga atakae ingia uwanjani loftus kuwaspoti Yanga ( umewekwa utaratibu wa kuwalipia mashabiki wote wa Yanga watakao ingia uwanjani leo)
Mamelody wametangaza kushusha kiingilio na sasa imekuwa Rands 10.
Ni wazi kuwa wameshusha kiingilio baada ya kuona muitikio mdogo huku Yanga wakionekana kuzidi kupata sapoti kubwa kutoka kwa:
1. Mashabiki wa Yanga ( mabaharia wanao ishi Dizonga ambao wapo wengi sana)
2. Mashabiki wa Yanga kutoka Dsm( waliolipiwa na serikali) pamoja na wengine walio enda wao kama wao kutoka sehemu mbalimbali Tanzania huku wengi wao wakitoka Mbeya.
3. Mashabiki wa Kaizer Chiefs ambao wanakuja kulipa fadhili za mashabiki wa Yanga walivyo wasapoti kwenye mechi yao dhidi ya Taifa Lupaso.
4. Mashabiki wa the Pirates
Leo Soweto yote ni kijani na njano ya Yanga. Bahati nzuri kutoka Joburg hadi Pretoria ni kama Dar na kibaha ( only one hour )
Halla Young Africans