Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Cannibal kichwa kibovu huwa namwelewa sana...
View: https://youtu.be/wcK3l4KHXY4?si=siBxITGpZlXWmDha
Humu kuna Chid, Cannibal Kichwa Kibovu, Jones mwenyewe, Belle 9, Stamina na Jay More
Nani amefunika wengine? Kwangu naona Cannibal kachana vibaya sana. Nimefurahi kumuona karudi.
Kuna kipindi Street Hustler nilikuwa naisikiliza siku nzimaCannibal kichwa kibovu huwa namwelewa sana...View attachment 3558222
Dah ..yaani acha kabisa π.. jamaa anajua ... Halafu ni kama jamaa wa Kenya hivi au vipi?.Kuna kipindi Street Hustler nilikuwa naisikiliza siku nzima
Mtu wa Mombasa huyo. Hatumii nguvu kuchanaDah ..yaani acha kabisa π.. jamaa anajua ... Halafu ni kama jamaa wa Kenya hivi au vipi?.
Nilikuwa naipenda sana ngoma yake flani aliimba na Amida kitu kama sikosei, kama wimbo flani hivi ka mapenzi katamuCannibal kichwa kibovu huwa namwelewa sana...View attachment 3558222
Na kweli .. anajua sana mwamba...Mtu wa Mombasa huyo. Hatumii nguvu kuchana
YeaCannibal huyu wa kwenye i am bad man hapo ulipo sipo?