clixus
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 813
- 628
Kuna artists wawili wakali sana, Ila kwa sasa takribani miezi kadhaa huyu akichia track moja mwenzie atafata soon na vijembe juu
Namuongelea Young lunya na Young killer Kuna vijembe wanatumiana Sana
Kama ulifatlia kitambo utajua, Ila hizi ngoma mbili za mwisho hapa juzi kati ndo mambo yapo moto kabisa
Lunya kwenye announcement freestyle anachana kwamba nitakurudisha walipo kutoa ambapo kila Mara killer husema huwezi nirudisha nilipotoka
Killer anasema hizi habar ziende mpk Hollywood ambapo tunajua lunya anapenda unyamwezi Sana,, mwisho anadiss lunya anavovaa lege especially kwenye video ya announcement
Anaonea mbali zaid na kujua yaliyo nyuma ya hizi diss track ambazo haziko official announced.