Ngoma ya "Komasava " ya Diamond imeingia kwenye chart za Billboard

Ngoma ya "Komasava " ya Diamond imeingia kwenye chart za Billboard

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msanii maarufu kutoka Tanzania ameweka record ya aina yake ya kuingiza wimbo wake wa Komasava
ile original kwenye chart za Billboard kama ingizo jipya kwenye chart za nyimbo 50 zenye kufanya vizuri Duniani.

Wimbo huo umekuwa ukifanya vizuri na kupendwa na watu wengi ukiwemo watu maarufu kama Chris Brown, Mwanasoka Pogba, Jason Dorulo, Swalee, French Montana n.k.

Soma Pia: Diamond na Chris Brown waisimaisha dunia na Komasava


Pia umetumika kwenye sehemu tofauti tofauti kwenye ushangiliaji wa team mbalimbali ukiwemo team ya Taifa ya Hispania wakionekana wakicheza wimbo huo.

millardayo_20240807_2.jpg
 
Kumbe ni Afrobeats? Nikajua ile yenyewe ambayo wapo kina Kedrick Lamar....Sasa kwa Afro beat mlitegemea asiingie? Kama asingeingia ningeshangaa maana kina Rema wapo.
Ndio mwanzo wa hatua nzuri hiyo we uliwahi kutegemea kuna siku msanii mkubwa kama christbrown atacheza ngoma ya msanii wa bongo
 
Hongera kwake...
Hivi ile ya Hamonaiza ya Single haikuingiaga??
 
Mtu amshauri hamo ule mwili amekua kama ki simtank cha lita 500...
 
Back
Top Bottom