Ngoma ya "Komasava " ya Diamond imeingia kwenye chart za Billboard

Ngoma ya "Komasava " ya Diamond imeingia kwenye chart za Billboard

Hivi imekuwaje yule Rema wa Nigeria kutoa video ya watu wawili tu, yaani yeye na Serana Gomes, ikatikisa dunia mpaka leo kuna studio ya redio moja hapa kwetu FM 94.8 FM inaupiga wimbo huo kila baada ya msaa moja?


View: https://www.youtube.com/watch?v=WcIcVapfqXw

Wimbo huu wa Komasava umehusisha watu wengi sana katika mazingira tofauti lakini nilikuwa sijausikia redioni hadi niliposoma kwenye mtandao? Inawezekana baada ya muda wimbo utapokelewa ila vile vile nadhani utunzi wake haukukamilika sawasawa.


View: https://www.youtube.com/watch?v=UU6fOIIcfsM
 
Back
Top Bottom