elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
wewe hujui mziki 'feel good' sio level za bongo nyie mshazoea singeri na miduara kwanza kwny hii nyimbo hamna kiswahili mimi nilikuwa Amsterdam nikasikia hii nyimbo ckuamini kama imetoka Tz alafu unasema imebuma wakati ina almost 1 million views on YouTube kwa muda wa week 5 big up [HASHTAG]#nevykenzo[/HASHTAG]Hii ngoma nzuri itasumbua siyo kama feelin good iliyobuma.
Hii nzuri sana.
Halafu kumbe album zinalipa wanadai copy 10,000 za kwanza zimeisha tayari.
Huitaji kujua mziki kupenda mziki hii kauli ya wewe hujui mziki unanichekesha.wewe hujui mziki 'feel good' sio level za bongo nyie mshazoea singeri na miduara kwanza kwny hii nyimbo hamna kiswahili mimi nilikuwa Amsterdam nikasikia hii nyimbo ckuamini kama imetoka Tz alafu unasema imebuma wakati ina almost 1 million views on YouTube kwa muda wa week 5 big up [HASHTAG]#nevykenzo[/HASHTAG]
Huitaji kujua mziki kupenda mziki hii kauli ya wewe hujui mziki unanichekesha.
Mziki unaimbwa mtu aenjoy na haupende hata kama lugha haijui.
Kamatia chini huoni since day one ilivyokuwa kila kona kuanzia boda boda mpaka redioni.
Hakuna cha international hapa mbona ngoma z tekno zinapendwa huko mpaka bongo au nazo ni singeri?
And by the way haujafikisha views milion moja.
Trending yake siyo kama kamatia chini
Tuende wapi kudhibitisha hilo la "copy 10,000 za kwanza zimeisha tayari" ????Hii ngoma nzuri itasumbua siyo kama feelin good iliyobuma.
Hii nzuri sana.
Kiba kaimba safi kama kawaida ila apunguz yoo zinaboa sasa.
Halafu kumbe album zinalipa wanadai copy 10,000 za kwanza zimeisha tayari.
Bt trust me mkuu ,hyo track "feeling good"inafanya vizuri sana nje ya Tanzania so sizani kama imebumaHuitaji kujua mziki kupenda mziki hii kauli ya wewe hujui mziki unanichekesha.
Mziki unaimbwa mtu aenjoy na haupende hata kama lugha haijui.
Kamatia chini huoni since day one ilivyokuwa kila kona kuanzia boda boda mpaka redioni.
Hakuna cha international hapa mbona ngoma z tekno zinapendwa huko mpaka bongo au nazo ni singeri?
And by the way haujafikisha views milion moja.
Trending yake siyo kama kamatia chini
Kama inafanya vizuri nje basi nategemea waanze kupata shows ama kufanya vizuri nje ni ngoma kupigwa trace tv?mkuu wewe mgumu kuelwe nimekuambia hii ngoma sio level ya bongo pamoja na hao boda boda wako wanao jua clubbing watakuabia ukisema imebuma unakosea saana imagine ngoma ina 5 weeks only ina kariba views milion moja unasema imebuma utakuwa hujui mziki ww
Hayo wamesema wao mkuu ndiyo maana nimeandika wanadai eti copy 10,000 za mwanzo zimeisha.Tuende wapi kudhibitisha hilo la "copy 10,000 za kwanza zimeisha tayari" ????
Nje wapi huko?Bt trust me mkuu ,hyo track "feeling good"inafanya vizuri sana nje ya Tanzania so sizani kama imebuma
nenda madale kwa baba ako Dimond ukathibitishe ebooooo.Tuende wapi kudhibitisha hilo la "copy 10,000 za kwanza zimeisha tayari" ????
Hakuna cha unazi ngoma ina video kali lakin audio yake siyo kali.
Nyimbo ipo kwenye Albamu yao iyo ya AiM
uache unazi alie kwambia feeling good ime buma nani??
hayo mambo ya kutuponda wabongo na mziki wetu pendwa Singeli hatutaki tena mkome.wewe hujui mziki 'feel good' sio level za bongo nyie mshazoea singeri na miduara kwanza kwny hii nyimbo hamna kiswahili mimi nilikuwa Amsterdam nikasikia hii nyimbo ckuamini kama imetoka Tz alafu unasema imebuma wakati ina almost 1 million views on YouTube kwa muda wa week 5 big up [HASHTAG]#nevykenzo[/HASHTAG]
mkuu wewe mgumu kuelwe nimekuambia hii ngoma sio level ya bongo pamoja na hao boda boda wako wanao jua clubbing watakuabia ukisema imebuma unakosea saana imagine ngoma ina 5 weeks only ina kariba views milion moja unasema imebuma utakuwa hujui mziki ww
Hivi mkuu, wewe ni Mzaramo wa wapi,Msanga,Msanga Ngongere,Mwanaromango,Malumbo au Masaki au ni wa pale mjini kwenu Kisarawe ??nenda madale kwa baba ako Dimond ukathibitishe ebooooo.
Kariakoo.Hivi mkuu, wewe ni Mzaramo wa wapi,Msanga,Msanga Ngongere,Mwanaromango,Malumbo au Masaki au ni wa pale mjini kwenu Kisarawe ??