mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Ndio ulitaka kusema nini?Feel good iko poa na Ipo VEVO.
Kuwa Vevo Ndio kipimo Chako cha wimbo mzuri?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ulitaka kusema nini?Feel good iko poa na Ipo VEVO.
Toka lini mzaramo anajua kujiongeza...Ndio ulitaka kusema nini?
Kuwa Vevo Ndio kipimo Chako cha wimbo mzuri?!
Kwa hiyo kama nisingekuwa Mzaramo ndio ningejua kuwa nyimbo nzuri zinapatikana Vevo tu?!Toka lini mzaramo anajua kujiongeza...
wewe hujui mziki 'feel good' sio level za bongo nyie mshazoea singeri na miduara kwanza kwny hii nyimbo hamna kiswahili mimi nilikuwa Amsterdam nikasikia hii nyimbo ckuamini kama imetoka Tz alafu unasema imebuma wakati ina almost 1 million views on YouTube kwa muda wa week 5 big up [HASHTAG]#nevykenzo[/HASHTAG]
wewe ndo hujanielewa nadhani..
nmemaanisha hivi "wewe umeona ni hit song kwasababu lina 1million viewers!
ndio nikakujibu, haijalishi!!! huo wimbo umebuma!
kupigwa nje ya nchi haimaanishi umebamba ,Kama umebamba wapige show ulikobambia! tuone
halafu kuwa na one million viewers sio definition ya kuwa umehit kuna wasanii bongo wanafikisha hio million ndani ya masaa36 , wakina diamond!
kwahiyo sikuhizi one million sio big deal! halafu million yenyewe wimbo Una miezi[emoji23][emoji23][emoji23]! wtf