Ngoma ya navykenzo ft alikiba - lini

Ngoma ya navykenzo ft alikiba - lini

wewe hujui mziki 'feel good' sio level za bongo nyie mshazoea singeri na miduara kwanza kwny hii nyimbo hamna kiswahili mimi nilikuwa Amsterdam nikasikia hii nyimbo ckuamini kama imetoka Tz alafu unasema imebuma wakati ina almost 1 million views on YouTube kwa muda wa week 5 big up [HASHTAG]#nevykenzo[/HASHTAG]


Video yake inabamba usipime, hiyo ni level ya kimataifa
 
Hakuna kitu...
Wimbo mbaya...
Alafu Nah Real aache haraka sana kumuiga Patoranking..!
 
wewe ndo hujanielewa nadhani..
nmemaanisha hivi "wewe umeona ni hit song kwasababu lina 1million viewers!
ndio nikakujibu, haijalishi!!! huo wimbo umebuma!
kupigwa nje ya nchi haimaanishi umebamba ,Kama umebamba wapige show ulikobambia! tuone
halafu kuwa na one million viewers sio definition ya kuwa umehit kuna wasanii bongo wanafikisha hio million ndani ya masaa36 , wakina diamond!
kwahiyo sikuhizi one million sio big deal! halafu million yenyewe wimbo Una miezi[emoji23][emoji23][emoji23]! wtf


Duh kama umewakamia vile! Utakuwa Ora wa kwenye PAH ONE baada ya jamaa kuwakimbia na kuanzasha kundi lao mmebaki mmebuma maana mlikuwa mnamtegemea Nahreal
 
Kiba hana tofauti na Arsene Wenger,kila siku kuwapa wapenzi matumaini hewa
 
feel good iko vizuri kuliko LINI

LINI imebuma
 
Back
Top Bottom