gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,666
hayo mambo ya kutuponda wabongo na mziki wetu pendwa Singeli hatutaki tena mkome.
Kwenda kubeba box huko Ulaya kusiwafanye mtutoe akili.
Ngoma za wasouth na wapopo zinatamba Bongo vipi hizo nazo ni Singeli?!
Ule wimbo wa Game ulikuwa na kizungu kingi ila ilitoboa mpaka uswahilini.
Hii Ngoma yao mpya imebuma ndio maana haraka haraka wakatoa wimbo mpya wa kindengereko.
Navy Kenzo ni wasanii wa bongo kwa maana soko Lao kuwa ni Bongo ndio maana hatuwaoni nchi nyingine wakipiga show sasa tuta-prove vipi kuwa mziki wao unatamba nje ya bongo?!
Mkuu hebu tujaribu kuwapa moyo wasanii wanojitahidi nje ya Alikiba na Diamond wanaobebwa na mameneja lukuki na support kubwa nyuma yao. Kutoa video quality sio kazi rahisi.
Hii lugha ya wimbo "umebuma" sipendi sana