she is a song bird, kamfunika J ROPEZ mnoooo, i wish ungeisikia
Ile nyimbo ya shilole na jlo au kama mwenyewe anavyomuita jeniffer ropez, ni nooma
mr maatope nakuletea exlusive nyuzi maana nimebahatika kuisikiliza, nyoka wote watakaa ni soooooo
stay tuned, producEr dark child katisha sana na kakubali sana kipaji cha shishi babeeeee
she is a song bird, kamfunika J ROPEZ mnoooo, i wish ungeisikia
Uwiiiiiiiii kiruuuuuuuuuuuuyyyyy
Huyo ndio Maatope akiripoti moja kwa moja kutoka Tandale kwa Mtogole ccm kwa mzee Akilimali wa Yanga.
she is a song bird, kamfunika J ROPEZ mnoooo, i wish ungeisikia
Promo nyiiiiiiingi ila kuapload tu hako kanyimbo hapa imekuwa issue!
Some people bhana!