Ngoma ya Shilole na Jenifer Lopez ni noma

Ngoma ya Shilole na Jenifer Lopez ni noma

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Ile nyimbo ya shilole na jlo au kama mwenyewe anavyomuita jeniffer ropez, ni nooma
mr maatope nakuletea exlusive nyuzi maana nimebahatika kuisikiliza, nyoka wote watakaa ni soooooo
stay tuned, producEr dark child katisha sana na kakubali sana kipaji cha shishi babeeeee
 
saaafi hebu tupia bas[/QUOTE
najiuliza nitupie ama niache maana haters watazimia kwa msongo wa mawazo.. kina katty perry, rihana, rita ora inabidi wawe makini na moto wa shishi babeee
 
Uwiiiiiiiii kiruuuuuuuuuuuuyyyyy
 
Ile nyimbo ya shilole na jlo au kama mwenyewe anavyomuita jeniffer ropez, ni nooma
mr maatope nakuletea exlusive nyuzi maana nimebahatika kuisikiliza, nyoka wote watakaa ni soooooo
stay tuned, producEr dark child katisha sana na kakubali sana kipaji cha shishi babeeeee

Promo za uswazi jlo kufunikwa shilole
 
Isije kuwa yule wanaemwita J lo wa bongo( sinta) mhh binafsi sijui shilole huwa anaimba nini mwenzetu!
 
Akamwimbie Sijui nuhu mtoto wa mwisho(mziwanda)kule kwa JL atamuota usingizini basi hajui hata kufananisha jamani haya sijui wewe shishi njoo na mimi unichambe huku kama sintah
 
Promo nyiiiiiiingi ila kuapload tu hako kanyimbo hapa imekuwa issue!
Some people bhana!
 
Back
Top Bottom