How about this society 😂😂😂A society edged in mystery and satanism like this will be deleted from History books
Hii ndio shida ya huyu mtu kujiona yupo special wakati hata kwao hayo mambo yapo kama kawaida [emoji23][emoji23][emoji23]mkuu mk254 hay mambo yapo karibia africa nzima ,sisi tunashukuru serikali kwa kuliona hilo na kuchua hatua
Hi ngoma kwa Kenya ipo maeneo ya momabsa maeneo Kwale vijiji vya mwambao wa bahari ya hindi tena hawa hajifichi kabisa.
So mkuu naomba na serikali yako ilione hili
How about this society [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka sasa sijatajwa kwenye hii post.. Mungu mkubwa... [emoji120][emoji120][emoji120]
Unataka kuniambia mila kama hiyo haipo kenya?Umeona kitu km mashetani hapo
Unataka kuniambia mila kama hiyo haipo kenya?
Nenda YouTube search zitakuja kibao,Tuletee hzo ngoma za mashetani na mjini..hta ndio naziskia leo[emoji54][emoji54][emoji54]
How about this society [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli we umeishiwa cha kuandika sasa hizo mila c zipo koteNgoma ya mashetani na majini inayochezwa na moja ya makabila yaliyopo kusini imetajwa kutumika kutibu magonjwa ya aina mbalimbali licha ya serikali ya wilaya ya mtwara kuzipiga marufu.
Ngoma hizo ambazo zimekuwa zikichezwa kinyemela na hivyo kusababisha jamii kutibiwa kwa waganga wa kienyeji badala ya vituo vya afya na hivyo kusababisha usugu wa magonjwa lakini pia vifo.
Ngoma za mashetani na majini zapigwa marufuku.
Ngoma hizo ambazo zimekuwa zikichezwa kinyemela na hivyo kusababisha jamii kutibiwa kwa waganga wa kienyeji badala ya vituo vya afya na hivyo kusababisha usugu wa magonjwa lakini pia vifo.itv.co.tz
Hivi mbona huwa unahusishwa na haya madude, nyuzi zinazoyahusu huwa lazima utajwe, Wapare niwajuavyo sio wachawi.