Ngoma za mashetani na majini ambazo hutumika kutibu wagonjwa kule Bongo

Ngoma za mashetani na majini ambazo hutumika kutibu wagonjwa kule Bongo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ngoma ya mashetani na majini inayochezwa na moja ya makabila yaliyopo kusini imetajwa kutumika kutibu magonjwa ya aina mbalimbali licha ya serikali ya wilaya ya mtwara kuzipiga marufu.

Ngoma hizo ambazo zimekuwa zikichezwa kinyemela na hivyo kusababisha jamii kutibiwa kwa waganga wa kienyeji badala ya vituo vya afya na hivyo kusababisha usugu wa magonjwa lakini pia vifo.
 
A society edged in mystery and satanism like this will be deleted from History books
 
mkuu mk254 haya mambo yapo karibia africa nzima ,sisi tunashukuru serikali kwa kuliona hilo na kuchua hatua

Hi ngoma au tamaduni kwa Kenya ipo maeneo ya mombasa maeneo Kwale vijiji vya mwambao wa bahari ya hindi tena hawa hawajifichi kabisa.
So mkuu naomba na serikali yako ilione hili
 
mkuu mk254 hay mambo yapo karibia africa nzima ,sisi tunashukuru serikali kwa kuliona hilo na kuchua hatua

Hi ngoma kwa Kenya ipo maeneo ya momabsa maeneo Kwale vijiji vya mwambao wa bahari ya hindi tena hawa hajifichi kabisa.
So mkuu naomba na serikali yako ilione hili
Hii ndio shida ya huyu mtu kujiona yupo special wakati hata kwao hayo mambo yapo kama kawaida [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoma ya mashetani na majini inayochezwa na moja ya makabila yaliyopo kusini imetajwa kutumika kutibu magonjwa ya aina mbalimbali licha ya serikali ya wilaya ya mtwara kuzipiga marufu.
Ngoma hizo ambazo zimekuwa zikichezwa kinyemela na hivyo kusababisha jamii kutibiwa kwa waganga wa kienyeji badala ya vituo vya afya na hivyo kusababisha usugu wa magonjwa lakini pia vifo.
Kweli we umeishiwa cha kuandika sasa hizo mila c zipo kote
 
Hiki kitu hata mimi kinanishangaza mno... Hata hiki cheo cha mchawi wa JF sijui kanipa nani... Natamani mno kumjua
Hivi mbona huwa unahusishwa na haya madude, nyuzi zinazoyahusu huwa lazima utajwe, Wapare niwajuavyo sio wachawi.
 
Back
Top Bottom