Ngoma zimeanza usiku huu katika kanisa la walokole

Ngoma zimeanza usiku huu katika kanisa la walokole. Sijui kama tutapata usingizi. Ibada yenyewe ni kesho lkn mziki ushaanza usiku huu tena mkubwa
Kwahiyo unataka kusema raisi kagame wa Rwanda alivyofuta makanisa yote ya kilokole nchini mwake alikuwa sahihi? Lakini pia inasemekana baada ya zoezi Hilo uchumi wa nchi yake umekua maradufu.
 
Ngoma zimeanza usiku huu katika kanisa la walokole. Sijui kama tutapata usingizi. Ibada yenyewe ni kesho lkn mziki ushaanza usiku huu tena mkubwa
Sasa Leo ndo ile siku ambayo watu watatombana bila wasi.

Naomba tu mungu mimba zisizotarajiwa zisikae mahali pake, pia, gonjwa kali la UKIMWI lisihame kutoka kwa muumini mmoja kwenda kwa mwingine, Amen!
 
Mbona nyie huwa mnafunga barabara Kariakoo Ijumaa kuswali na watu hawalalamiki??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…