DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mgombea Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Kunje Ngombale Mwiru AAFP ameendelea na kampeni katika Mkoa wa Tabora ndani ya Wilaya ya Nzega.
Mgombea Urais huyo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kunje Ngombale Mwiru amewavaa wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya ambao wanatishia wananchi kuhusu maandamano siku ya tarehe 29 octoba 2025.
Aidha Mgombea huyo amesema kwamba wananchi hao hawana muda wa kufanya maandamano yoyote siku hiyo ila wataenda kumpigia kura yeye ili awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.