Ng'ombe bora wa maziwa aina ya Holstein freisian, Jersey na Ayrshire wanapatikana

Ng'ombe bora wa maziwa aina ya Holstein freisian, Jersey na Ayrshire wanapatikana

munroe

Senior Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
108
Reaction score
91
Ndugu wadau wafugaji tunatoa huduma ya uuzaji wa ng'ombe wa maziwa wilayani Rungwe mkoani mbeya karibuni kwa ng'ombe aina hizo kwa bei nafuu saana

Tunatoa elimu na ushauri kuhusu ufugaji bora, pia ng'ombe wetu wanastahimili mazingira ya hari ya hewa tofauti ya mikoa yote tanzania
  • Mitamba ( yenye mimba na isio na mimba)
  • Ndama aina zote
  • Wa maziwa mpaka Lita 20 kwa siku
-Madume bora

Tutafute kwa namba 0756416149
Namba hiyo WhatsApp pia.

IMG_20230318_110317_435.jpg

IMG_20230318_113804_652.jpg
 
Bei yake ikoje??na nikitaka dar mnanisafirishia??
 
Mtamba mimba miezi sita
Screenshot_20230320-082317.jpg
Screenshot_20230320-082138.jpg
 
Attachments

  • VID-20230319-WA0005.mp4
    11.6 MB
Ndama wanaanzia 500,000
Mitamba ya Kati 900,000 kuendelea
Yenye mimba 1.2 mln kuendelea iyo ni kulingana na aina na umri wa mimba
Wa maziwa kuanzia lita 15 kuendelea zinaanzia 2 mln kuendelea
Kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu kwa namba hizo

Ng’ombe mmoja kwa ajili ya maziwa tu ya kutumia nyumbani familia ya watu 6 je,anatosha?
 
Ng’ombe mmoja kwa ajili ya maziwa tu ya kutumia nyumbani familia ya watu 6 je,anatosha?
Anatosha kabisa unaweza mpata hata mwenye lita 15 kwa siku si haba kwa matumizi ya familia
Unaweza nicheki WhatsApp kwa picha za ng'ombe wa hitaji lako
 
Habari mm ni mfugaji Niko Mkata Handeni huku Kuna Hali ya hewanya joto rungwe ni baridi he wanaweza himili HII Hali ya hewa
Vipi kuhusu uhakika wa unachokisema mfano hatoi hizo Lita 15inakuaje maana nahitaji ndama wadogo 10
 
Mkuu rungwe si baridi saana ukiringanisha na mikoa Kama njombe ndio maana wateja wengi kutoka mikoayenye joto kama dar es salaam na dodoma wanapendekeza ng'ombe toka Rungwe maana wanastahimili.kuhusu uhakika wa maziwa mteja unaweza ukashuhudia maziwa kwa muda utakao kama siku mbili tatu niwewe
 
Ndama wanaanzia 500,000
Mitamba ya Kati 900,000 kuendelea
Yenye mimba 1.2 mln kuendelea iyo ni kulingana na aina na umri wa mimba
Wa maziwa kuanzia lita 15 kuendelea zinaanzia 2 mln kuendelea
Kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu kwa namba hizo
Lita 15 kwa mkamuo mmoja au miwili?
 
Back
Top Bottom