munroe
Senior Member
- Apr 3, 2019
- 108
- 91
- Thread starter
- #41
Mkuu ukikutana na watu kama hao jiepushe unatumaje hela hujafika shambani ukaona mfugo, sisi wateja wetu wote wanakuja wenyewe kama sio yeye basi mtu anae mwamini yeye.Tumeona na tunaendelea kuona. Mara nyingi hua mnaanza hivyo then mtasema atoe advance ndio mnayeya na kwenda kwa mama sirudi. Ni vyema wadau wawe makini na nyie wafanyabiashara wa mtandaoni.