Kuhusu bei zetu ni nafuu saana pia kuhusu usafiri ni gharama yako mnunuzi japo hata kama ukipata mmoja tutakuunganisha na wasafirishaji ambao kwa wiki wanapeleka ng'ombe huko zaidi ya mara mbili.Bei yake ikoje??na nikitaka dar mnanisafirishia??
Naomba nijue bei mkuu,nijipange.Kuhusu bei zetu ni nafuu saana pia kuhusu usafiri ni gharama yako mnunuzi japo hata kama ukipata mmoja tutakuunganisha na wasafirishaji ambao kwa wiki wanapeleka ng'ombe huko zaidi ya mara mbili.
Ndama wanaanzia 500,000Naomba nijue bei mkuu,nijipange.
Ndama wanaanzia 500,000
Mitamba ya Kati 900,000 kuendelea
Yenye mimba 1.2 mln kuendelea iyo ni kulingana na aina na umri wa mimba
Wa maziwa kuanzia lita 15 kuendelea zinaanzia 2 mln kuendelea
Kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu kwa namba hizo
Mkuu rungwe si baridi saana ukiringanisha na mikoa Kama njombe ndio maana wateja wengi kutoka mikoayenye joto kama dar es salaam na dodoma wanapendekeza ng'ombe toka Rungwe maana wanastahimili.kuhusu uhakika wa maziwa mteja unaweza ukashuhudia maziwa kwa muda utakao kama siku mbili tatu niweweHabari mm ni mfugaji Niko Mkata Handeni huku Kuna Hali ya hewanya joto rungwe ni baridi he wanaweza himili HII Hali ya hewa
Vipi kuhusu uhakika wa unachokisema mfano hatoi hizo Lita 15inakuaje maana nahitaji ndama wadogo 10
Lita 15 kwa mkamuo mmoja au miwili?Ndama wanaanzia 500,000
Mitamba ya Kati 900,000 kuendelea
Yenye mimba 1.2 mln kuendelea iyo ni kulingana na aina na umri wa mimba
Wa maziwa kuanzia lita 15 kuendelea zinaanzia 2 mln kuendelea
Kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu kwa namba hizo
Hao freisian mkamuo mmoja anatoa wastani wa lita ngapi?Safi sana Freisian wana maziwa mengi sana na ulaji wao si wa kitoto, Jersey ni wazuri sana pia na maziwa yao ni mazito. Uzoefu wangu mfugaji mdogo