Mkuu ukikutana na watu kama hao jiepushe unatumaje hela hujafika shambani ukaona mfugo, sisi wateja wetu wote wanakuja wenyewe kama sio yeye basi mtu anae mwamini yeye.Tumeona na tunaendelea kuona. Mara nyingi hua mnaanza hivyo then mtasema atoe advance ndio mnayeya na kwenda kwa mama sirudi. Ni vyema wadau wawe makini na nyie wafanyabiashara wa mtandaoni.
Ng'ombe wenu ni aina gani boss?Ndugu wadau wafugaji tunatoa huduma ya uuzaji wa ng'ombe wa maziwa wilayani Rungwe mkoani mbeya karibuni kwa ng'ombe aina hizo kwa bei nafuu saana
Tunatoa elimu na ushauri kuhusu ufugaji bora, pia ng'ombe wetu wanastahimili mazingira ya hari ya hewa tofauti ya mikoa yote tanzania
-Madume bora
- Mitamba ( yenye mimba na isio na mimba)
- Ndama aina zote
- Wa maziwa mpaka Lita 20 kwa siku
Tutafute kwa namba 0756416149
Namba hiyo WhatsApp pia.
View attachment 2558376
Kwenye title ya uzi huu nimetaja aina ya ng'ombe tulio naoNg'ombe wenu ni aina gani boss?
Pia wanakuwa wanazalisha maziwa Kwa muda wa miaka mingapi Hadi kufikia ukomo kingine hizo Lita ishirini ni Kwa mkamuo mmoja au?
Na unakamua mara ngapi Kwa siku??Wapo wanaotoa lita 12 hadi 13 kwa mkamuo mmoja.
Mkuu upo mkata sehemu gani naomba uni nipm tubadirishane mawazo kidogo nataka nipambane hapo kwa wazigua..Habari mm ni mfugaji Niko Mkata Handeni huku Kuna Hali ya hewanya joto rungwe ni baridi he wanaweza himili HII Hali ya hewa
Vipi kuhusu uhakika wa unachokisema mfano hatoi hizo Lita 15inakuaje maana nahitaji ndama wadogo 10
Mimi nipo Arusha nawapataje hao ng'ombe, angalau wawili tu?Hapana hao hatuna boss ila kwa mikamuo miwili wapo
We hujui kitu mkuu
Kuna ngombe wanatoa hadi lita 100 kwasikuKuna watu wataenda kulizwa muda si mrefu
Wewe ndo hujui kitu, unadanganya watuWe hujui kitu mkuu
ndio changamoto za mitandao izo,Humu kuna watu wamekuja na wamepata ng'ombe wazuri saana wanaweza kuwa maagent wetu.
Kuna watu hawana hata interest ya ufugaji ndio wanaofikilia upigaji tu sisi hatuhitaji mtu atume hela kabla hajahakiki ng'ombe yake mtu aje shamban akilidhika alipie aondoke na mzigo wake.
aina shida mna aina ya jese wazuriAsubuhi saa kumi na mbili jioni saa kumi
picha zao naweza ziona hapaKwasasa jersey wanaokamuliwa hamna
Wapo wadogo na Mitamba