Ng'ombe bora wa maziwa aina ya Holstein freisian, Jersey na Ayrshire wanapatikana

Mimi nipo Arusha nawapataje hao ng'ombe, angalau wawili tu?
Hata kama si mfugaji, nenda kama waelekea USA River , shuka danish uliza NAIC Iko wapi, au Rudi nyuma kidogo kama warudi makumira upande wa kulia utaona majengo ndio office zao ila najua Wana deal Zaid na mbegu za kisasa (NAIC:National Artificial insemination center)
 
Natafuta ng'ombe mwenye uwezo wa kutoa Walau litre 50 Kwa siku.
 
Kwa wadugaji hivi ni lazima mnyama atoke mfupa wa mgongoni? Nimekaa kwenye wafugaji wa ng'ombe wanaochunga na wanaofugia ndani ila kukutana na mnyama kanenepa mifupa haijatokeza ni wachache na hili swala linafanya nashindwa kufikiria kufuga nawaza huenda chakula ji changamoto au malisho yetu hayawapi virutubisho vyote mwenye uelewa aje anifunue macho maana inakatisha tamaa kua na mfugo mifupa imejichora kwenye ngozi.

**Hii haihusiani na mleta mada ila naamini humu watapita wadau wanaofuga wanaweza toa muongozo na mimi nikaelewa wapi watu wanakwama
 
Tafuta kitu inaitwa body condition score utaelewa tofauti ya ngombe wa maziwa na nyama . Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…