munroe
Senior Member
- Apr 3, 2019
- 108
- 91
- Thread starter
- #21
Kuna watu wengi tu wapo umu jamii forum tumewauzia ng'ombe wa 20 na kuendelea wanaweza dhibitisha hapa!Msidanganywe, hakuna ngombe kutoka mbeya anayeweza kukupa lita 20 kwa siku.
Utapigwa afu utaishia kulia na mavet
Mastitis
Chakula
Etc
Utawakuta pale Ubungo bucha ya nguruwe, wana maneno mengi ya uongo uongo
Kama umekuja rungwe na hajapata ng'ombe wa aina iyo nauli yako nitakurudishia, mpaka wa lita 24 wapo.