Kuna watu wengi tu wapo umu jamii forum tumewauzia ng'ombe wa 20 na kuendelea wanaweza dhibitisha hapa!Msidanganywe, hakuna ngombe kutoka mbeya anayeweza kukupa lita 20 kwa siku.
Utapigwa afu utaishia kulia na mavet
Mastitis
Chakula
Etc
Utawakuta pale Ubungo bucha ya nguruwe, wana maneno mengi ya uongo uongo
Asante kwa hilo ndugu, Lakin wapo watu humu wa naamini kila kitu ni utapeli na wanakatisha tamaa hata wahitajiUnafanya makosa. Badala umueleze mteja aridhike kwa maelezo ya kutosha, unamwambia akatafute, yaani unampa mteja kazi ya kutafuta taarifa za baidhaa
Inategemea pia na vile unavyoliwasilisha jambo lako. Unatakiwa ujieleze kipekee ili watu waweze kuona tofauti.Asante kwa hilo ndugu, Lakin wapo watu humu wa naamini kila kitu ni utapeli na wanakatisha tamaa hata wahitaji
Ndugu mbeya wapo sana tukuyu na busokelo ng'ombe wa lita mpaka 25 ambao mkamuo asubuhi tu 15 jion lt 10 au zaid na hapo ukiwazingatia matunzo 30 anakupa vizur tuMsidanganywe, hakuna ngombe kutoka mbeya anayeweza kukupa lita 20 kwa siku.
Utapigwa afu utaishia kulia na mavet
Mastitis
Chakula
Etc
Utawakuta pale Ubungo bucha ya nguruwe, wana maneno mengi ya uongo uongo
Ranch ya Kitulo wapo Mkuu ila kuuziwa ni mbinde sana.Msidanganywe, hakuna ngombe kutoka mbeya anayeweza kukupa lita 20 kwa siku.
Utapigwa afu utaishia kulia na mavet
Mastitis
Chakula
Etc
Utawakuta pale Ubungo bucha ya nguruwe, wana maneno mengi ya uongo uongo
Ng'ombe hao wapo tena wengi tu tuanawauza wanalita zaidi ya ishirini ila kuna watu hawana interest ya ufugaji Wana duscourage wenzao.Ranch ya Kitulo wapo Mkuu ila kuuziwa ni mbinde sana.