Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mnunuzi akikosekana, ingia ubia na watu wa machinjioniTsh 3500/= boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnunuzi akikosekana, ingia ubia na watu wa machinjioniTsh 3500/= boss
Breed ipi?Habari,
Napenda kuwatangazia wafanyabiashara wa ng'ombe kuwa kuna ng'ombe 600 wote ni dume wanauzwa, kwa wahitaji karibuni.
Location ni Tanga Mjini chuo cha Buhuri.
Bei ni maelewano.
Tunauza kwa KG in terms of Live weight or Carcas Weight sio bargaining
Mawasiliano ni 0768625199
Karibu sana.
View attachment 2659488
Leta bei ya kilo
Mkuu sio butcher hiloo [emoji1787]usije taka kilo mbili [emoji2][emoji2]
Habari,
Napenda kuwatangazia wafanyabiashara wa ng'ombe kuwa kuna ng'ombe 600 wote ni dume wanauzwa, kwa wahitaji karibuni.
Location ni Tanga Mjini chuo cha Buhuri.
Bei ni maelewano.
Tunauza kwa KG in terms of Live weight or Carcas Weight sio bargaining
Mawasiliano ni 0768625199
Karibu sana.
View attachment 2659488
Sio fair kudhania kitu kwny thread ya Tangazo la biasharaHapa bila shaka kuna mfuhaji itakuwa kataifishwa mali ake, ukisikiliza sitory utaambiwa ng’ombe aliingia kwebye reserve, Wahurumieni Wafugaji.
Bei kwa KG inakua fair kwa wote,hakuna ataekatwa tofauti na ile biashara ya kukadiria[emoji28][emoji28],biashara nzuri sema jamaa bei zake kama za buchani tu,ukiweka kost za ushuru na usafirishaji lazima ukate mtaji
Fungueni bucha tu mkuu, carcas weight 6000 huyo muuzaji sijui auze Bei Gani akitoa na gharama za safariLive 3500
Carcas 6000
Karibu
WapoBado wapo?
Zishakata bossBado wapo?
Habari,
Napenda kuwatangazia wafanyabiashara wa ng'ombe kuwa kuna ng'ombe 600 wote ni dume wanauzwa, kwa wahitaji karibuni.
Location ni Tanga Mjini chuo cha Buhuri.
Bei ni maelewano.
Tunauza kwa KG in terms of Live weight or Carcas Weight sio bargaining
Mawasiliano ni 0768625199
Karibu sana.
View attachment 2659488
Uamue kula au kulewaNg'ombe mwenye Kg 200 X 3500 n laki saba tu!! Hii ni bei ya chupa moja Hennessey
Hongera kwa project nzuri mno!Average ni Kg 200
Umri wao ni miaka 2½ mpaka 3