Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Acha umaskini dogo. 500 ndio ya kuanzisha uzi humu JF?Leo kwenye pitapita zangu za kufukuzia shiling mjini, nikakutana na jamaa yangu mmoja wa kitambo hivi, Akawa amenipatia dili la maana na kushitua moyo kidogo. hivyo raha kunizidi moyoni, nikaamua nijivute sehemu nipate soda kidogo nimwagilie moyo. Nimemkuta binti wa zamani kidogo hayo maeneo, nimeagiza zangu soda imefika mezani, kaifungua nikapiga funda moja kwanza halafu nikauliza hii soda si jero? Kumbe nikawa nimekosea akaniona mimi wa kuja mjini hapa, akanijibu inauzwa buku. Ikabidi nivunge, nikamwambia sawa huku nashushia taratibu. Badae chupa kuisha nikavuta pochi nikamchomolea buku nikampatia nione atafanyaje kapokea kakausha, badae kidigo kanyanyuka kaingia ndani ananichungulia mlangoni aone kama naondoka au vipi, Kuona nimemshitukia kageuza na soda moja kaifungua kaanza kuishushIa taratibu. Dadeki roho imeniuma kishenzi, nashuhudia jero langu limekuwa ofa bila kibali changu mbele ya macho yangu. Anyway niliamua kukausha tu, maana amenifundisha kitu kipya, Ng'ombe hazeeki maini jambazi ni jambazi tu.
Hakuna masikini humu JF, kilicho nisikitisha ni binti wa zamani anaye stahili heshima zake, kuwa na mawazo na fikira za ajabu kiasi hiki!.Acha umaskini dogo. 500 ndio ya kuanzisha uzi humu JF?
Maisha magumu aisee, na tunaohonga magari je?Leo kwenye pitapita zangu za kufukuzia shiling mjini, nikakutana na jamaa yangu mmoja wa kitambo hivi, Akawa amenipatia dili la maana na kushitua moyo kidogo. Hivyo raha kunizidi moyoni, nikaamua nijivute sehemu nipate soda kidogo nimwagilie moyo. Nimemkuta binti wa zamani kidogo hayo maeneo, nimeagiza zangu soda imefika mezani, kaifungua nikapiga funda moja kwanza halafu nikauliza hii soda si jero? Kumbe nikawa nimekosea akaniona mimi wa kuja mjini hapa, akanijibu inauzwa buku. Ikabidi nivunge, nikamwambia sawa huku nashushia taratibu. Badae chupa kuisha nikavuta pochi nikamchomolea buku nikampatia nione atafanyaje kapokea kakausha, badae kidigo kanyanyuka kaingia ndani ananichungulia mlangoni aone kama naondoka au vipi, Kuona nimemshitukia kageuza na soda moja kaifungua kaanza kuishushIa taratibu. Dadeki roho imeniuma kishenzi, nashuhudia jero langu limekuwa ofa bila kibali changu mbele ya macho yangu. Anyway niliamua kukausha tu, maana amenifundisha kitu kipya, Ng'ombe hazeeki maini jambazi ni jambazi tu.
Mtu unasoma kichwa cha habari unaona hapa pana la kujifunza unaamua kuufuata uzi, only to find jamaa ameliwa jero lake, dah 😆, kiufupi huu uzi ni useless piece of shit.Acha umaskini dogo. 500 ndio ya kuanzisha uzi humu JF?
Usifosi tufanane, kila mtu na kiwango cha ujinga wake kichwani.Uandishi mzuri ila contents za kishamba, ungetumia uwezo wako vizuri ungeingiza hela ila kwakuwa umechagua ujinga basi endelea nao
Kupanga ni kuchagua, ila ni heri kupoteza kitu ukijua unapoteza, kuliko kupoteza kitu ukijua unapigwa.Maisha magumu aisee, na tunaohonga magari je?
Kesi ya wizi wa kuku ni kubwa mahakamani kuliko ng'ombe.Mtu unasoma kichwa cha habari unaona hapa pana la kujifunza unaamua kuufuata uzi, only to find jamaa ameliwa jero lake, dah.
Sawa Bw. Joined Sept 2025Kesi ya wizi wa kuku ni kubwa mahakamani kuliko ng'ombe.
Kwani 500 sio hela? Mrudishie basi wewe tuombe uzi ufutwe tajiri.Acha umaskini dogo. 500 ndio ya kuanzisha uzi humu JF?
Kingine kimezidi aiseeUsifosi tufanane, kila mtu na kiwango cha ujinga wake kichwani.
Shida ya Watz ni ujuaji na ufukunyuzi mwingi usio na faida kwao.Sawa Bw. Joined Sept 2025
Fanta kimbaumbau, hata ingekuwa big haifiki buku, ila ndo hivyo nikamkaushia bibi wa watu.Soda gani hiyo ya jero wewe ukauziwa buku?