Ng'ombe huyu Gir kutoka Brazil hutoa lita 100 kwa siku. Je Watawala wameshindwa kuwaza nje ya Box?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Huyo Ng'ombe ni moja ya Breed wanao toa maziwa mengi mno anatoa hadi lita 100 kwa siku.

Sasa kweli Tumeshindwa kumfanyia majaribioa Tanzania? make anaweza saidia kabisa kuondoa umasikini huko Vijijini.

Sidhani kama hawezi kusavave Tanzania ila ninacho jua ni kushindwa kwa Watalamu kuwaza nje ya Box.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lita 100

Ndoo za plastiki za lita 20 kwa siku moja ndoo tano

Yaani nusu drum.......? Maana drum moja lita 200
 
Hapan aiseeeh bora nibaki na kang'ombe kangu ka lita 5

driller⛏⚒
 
Hizo lita 100 zitatoka kama unampa mahitaji yanayotakiwa
 
Bora waendelee kutokuwaza nje ya box hivyohivyo...
haya mavitu ya "genetical engineering" yakizidi sana ni majanga unakuta siku hizi kitoto cha miaka kumi cha kike kina ndevu, cha kiume kina matiti mara tena kitoto kimezaliwa tu kina presha, kumbe wanabailojia washafanya yao
.
.

.
Mimboga ya majani na mikuku yao ishatuathiri vya kutosha usitake watuongezee tabu

.
Hii ming'ombe ya kisasa tuliyonayo inatutosha sana
 
Ndo uwezo wako wa kufikiri umekomea hapo? Hakun kitu kibaya kama kuwa na mwisho wa uwezo wa kuwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let those who play that game opposing god directive suffer the consquenses


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lita 100

Ndoo za plastiki za lita 20 kwa siku moja ndoo tano

Yaani nusu drum.......? Maana drum moja lita 200
Kule Kericho wapo kutoka nchi ya Pilato na Musa lita 45each
 

Attachments

  • Screenshot_20170804-195721.png
    220.1 KB · Views: 197
Vijana wa mitandaoni kazi kulalamika na kulalamikia serikali tu, huu ni uzwazwa!! Kwanini usimnunue wewe huyo ng'ombe?! Vijana muache ulalamishi, mfanye vitu.

Sent from Moto G
 
Bora ndani ya boksi nje ya boksi ni balaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…