Ng'ombe huyu Gir kutoka Brazil hutoa lita 100 kwa siku. Je Watawala wameshindwa kuwaza nje ya Box?

Ng'ombe huyu Gir kutoka Brazil hutoa lita 100 kwa siku. Je Watawala wameshindwa kuwaza nje ya Box?

Vijana wa mitandaoni kazi kulalamika na kulalamikia serikali tu, huu ni uzwazwa!! Kwanini usimnunue wewe huyo ng'ombe?! Vijana muache ulalamishi, mfanye vitu.

Sent from Moto G
Mpuuzi kumnunua unazani ni rahisi? inahitaji mtaji mkubwa na kumbuka Serikal inaweza fanya kwa lengo la kuondoa umasikini.

Ndo mwisho wa kufikiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maziwa ya huyo ng'ombe mi sinywi hata kwakupewa bure,hivi ukimuangalia vizuri huyu ng'ombe unadhani yuko sawa kweli?
 
Vizuri.. Ila gharama ya kumtunza isije kuwa kama ya yule faru Fausta
 
Vijana tumeshindwa ku-act tunalaumu sana,

Pamoja na sisi ila serikali yetu ndo inatuangusha sana,

Nchi serikali ingekuwa serious baas tungekuwa mbali sana.
 
wengine wako busy kuleta post eti jinsi wananchi wanvyozuia msafara wa rais kuonyesha wana imani nae ccm wamechoka hakuna ane weza fikiria kama mtoa mada alicho suggest nakama kule akitokea wakusema haya lazima akemewe na kufukuzwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Vijana wa mitandaoni kazi kulalamika na kulalamikia serikali tu, huu ni uzwazwa!! Kwanini usimnunue wewe huyo ng'ombe?! Vijana muache ulalamishi, mfanye vitu.

Sent from Moto G
wemzee wa mtandaoni unakipi cha inspiration chakufanya tujivunie tuache kulalamika??haya mambo ndio ilitakiwa serikali kuyafanya kuliko kutumia gharama nyingi kuwajaza watu wajinga kama wewe kupiga propaganda kwa watu wano ikumbusha serikali
 
Ghalama ya malisho yake tuambieni pia ili tujue kama hizo Lita 100 zina - refract hizo ghalama, mana isije nchi ikaingia kwenye janga la njaa kwa kulisha ng'ombe hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ghalama ya malisho yake tuambieni pia ili tujue kama hizo Lita 100 zina - refract hizo ghalama, mana isije nchi ikaingia kwenye janga la njaa kwa kulisha ng'ombe hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unazani utakuwa unamtuma shamba hoy akakate majani pembeni ya barabara then utegemee maziwa mengi?

Dhama za Ujima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hii nchi wataalamu wa kilimo wao binafsi wanawaza namna ya kujikwamua kiuchumi, wanashindwa kuwaza nje box maana yale tu ya ndani ya box hayatekelezeki.ngoja tu tuendelee na maisha haya ya pembe tatu ukikurupuka tu mkemia anapima mkojo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa kiongozi,kwani kwa mfugaji wakawaida hawezi kumudu gharama za huyu ng'ombe kivip labda huyu ng'ombe anakula cmchezo ili upate maziwa ktk kiwango hicho cha lita 100 per day unahitaji kumlisha vyakula mbali mbali cyo majani tu.pia kwa mfugaji wakawaida hawezi kumudu hizo gharama ndo maana mhusika hapo juu akasema hao wakulu akiwa anamaana kuwa wanauwezo wa kumudu kutokana na vipato vyao na cc wahali ya chini tukapata maziwa na tukawa na afya njema kutokana na vipato vyao wamevielekeza sehemu sahihi.daaah nimekumbuka cjui mh mtaafu pinda alikuwa ameanza hii project katavi huko ila cyo hawa ng'ambe cjajua amekamilisha na maziwa anauza wapi.kituko kutoka israel wamegundua kitu wakitaka kukamua ng'ombe wao wana wawekea kamziki wakati anakamua na hapo ng'ombe hutulia kusikiliza mziki na kujisahau kabisa anatoa maziwa mengi sna kuliko kumuwekea mziki.thanx brain platform jf

Sent from my HTC Desire 516 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom