Ng'ombe wa maziwa anasumbuliwa na reccurent mastitis. Msaada tafadhali

Ng'ombe wa maziwa anasumbuliwa na reccurent mastitis. Msaada tafadhali

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nina ngombe wa maziwa anasumbuliwa sana na reccurent mastitis. anakamuliwa kama lita 15 a day! tatizo ni nini na tiba yake ni nini?

Nilimfanyia drycow therapy, lakini baada ya kuzaa tu, mastitis hiyo within a week!

Please advise!
 
Pole mkuu
Mimi sio Vet
Lakini Mastitis kwa binadam itakua treated na Anti inflammatory drugs kama &Antibiotics pred etc
 
Pole mkuu
Mimi sio Vet
Lakini Mastitis kwa binadam itakua treated na Anti inflammatory drugs kama pred etc
Bovine mastitis, an inflammation of the mammary gland, is the most common disease of dairy cattle causing economic losses due to reduced yield and poor quality of milk. The etiological agents include a variety of gram-positive and gram-negative bacteria, and can be either contagious (e.g., Staphylococcus aureus, Streptococcus agalactiae, Mycoplasma spp.) or environmental (e.g., Escherichia coli, Enterococcus spp., coagulase-negative Staphylococcus, Streptococcus uberis).
 
Sawa nafahamu kwenye Vet kuna antibiotic kama ilivyo Human medicine basi Anti inflammatory & broad spectrum antibiotics zitamfaa
 
Unafugia Wapi?? Nashauri Waone Vet wa Wilaya kwa hatua zaidi.
 
Pole mkuu,
Nafahamu kwa mfugaji anavyojisikia kipindi mifugo yake ikiumwa. Wataalamu watakusaidia.
 
multiple drug therapy_penstrep+dexa

3 day dose.
ASANTE, PENSTREP NIMETUMIA. DEXA NILIWAHI TUMIA , NGOMBE AKAKATA MAZIWA INSTANTLY! ALIKUWA ANATOA 20 LITRES A DAY AKATOA ZERO LITRES THE SAME DAY i ADMINISTERED DEXA!
 
Kama mastitis ilitibiwa na kufikia level ya kuwa sub clinical bila kuonyesha signs kipindi ambacho hakamuliwi maana yake kulikuwa na progress kwenye matibabu.

Sasa hivi Jaribu kuangalia mazingira na namna ya ukamuaji wa maziwa vinaweza kuwa pre-disposing factors kabla ya kutibu tena

ila unaweza fanya sensitivity test(either SUA au TVLA) kama uchumi unaruhusu ili upate kujua dawa sahihi kwa case yako

Ila Antibiotics(penstrep) ina tibu vizuri kweny case nyingi
 
ASANTE, PENSTREP NIMETUMIA. DEXA NILIWAHI TUMIA , NGOMBE AKAKATA MAZIWA INSTANTLY! ALIKUWA ANATOA 20 LITRES A DAY AKATOA ZERO LITRES THE SAME DAY i ADMINISTERED DEXA!
IMG_20240826_103050_325~3.jpg

umewahi tumia hiyo unaitia kwenye teat
 
Pole kwa changamoto kiongozi.
Kama alivyochangia mchangiaji aliyepita, unaweza Fanya sensitivity test ama jaribu kutumia Gentamicin Injection pamoja na hiyo intra mammary infusion, unafanya vzur sana
 
Pole sana , causative wa mastitis ni karibu na causative 12 angalia ukamuaji maziwa yanaisha kwenye, wakamuaji kama Wana kucha ndefu wanasababisha vidonda , uchafu wa kimazingira , pia uwa unampaka milk Jerry ukimaliza kukamua cheki vitu vyote hivyo.
Back days mother alikuwa na tatizo ilo kumbe changamoto ilikuwa wanabakisha maziwa pia wanamsababishia vidonda baada ya kuwaelekeza wanaomsaidia kazi mastitis ilikoma now miaka minne sijawahi sikia mastitis tena .

Jitahidi sana maana mlio wa maziwa wakati wa ukamuaji ni mtamu sana kuliko hata kelele za ATM
 
yes, lat treatment nilitumia penstrep na hiyo intramammary infusion wakati namkausha dry cow therapy. It works well , the problem being recurrence
Nipe mbinu zako mkuu unazo tumia kumkausha ng'ombe, mimi naona nikimuachisha kwa kuanza kuruka siku 1 hadi 2 akizaa napat changamoto hiyo ya mastitis hadi sas hivi sijui nitumie njia gani.
 
Nipe mbinu zako mkuu unazo tumia kumkausha ng'ombe, mimi naona nikimuachisha kwa kuanza kuruka siku 1 hadi 2 akizaa napat changamoto hiyo ya mastitis hadi sas hivi sijui nitumie njia gani.
NDAMA MUACHISHE KUNYONYA MIEZI MIWILI KABLA YA KUZAA.
APPLY DCT: NUNUA TUBES ZA DRY COW THERAPY DCT), NI KAMA KILA TUBE, KILA TEAT WEKA TUBE MOJA.
Nenda dawa za mifug uliza hizo DCT, wao wanazijua...

SCHEDULE YA KUACHA KUMKAMUA IN ORDER TO APPLY DRY COW THERAPY
DAY 1..................ASUBUHI

DAY 2...............ASUBUHI

DAY 3................ASUBUHI NA JIONI

DAY 4................JIONI

DAY 5 ................NIL (USIMKAMUE)

DAY 6.................JIONI

DA 7......................JIONI + DRY COW THERAPY

SIKU ZOTE HIZO ASIPEWE CONCENTRATE

MLISHE KWA DRY GRASSES NA IKIWEZEKANA ASIENDE MACHUNGANI

NB: HII NILIKUWA ADVISED NA DR WA MIFUGO

1724681468599.png
 
Kumbe humu Wafugaji ni wengi Safi sana ndio uzuri wa Hili dudee kuuubwaaa linaitwa JF
ukiweza fuga upate maziwa, mbolea ..... na kama mfanyakazi upate sehemu ya kutumia muda unapokuwa free
Napata lita kama 15 to 20 a day kwa ngombe mmoja.... fuga wachache uwamudu. I have only three wa kisasa
 
Back
Top Bottom