Ng'ombe wa maziwa anasumbuliwa na reccurent mastitis. Msaada tafadhali

ukiweza fuga upate maziwa, mbolea ..... na kama mfanyakazi upate sehemu ya kutumia muda unapokuwa free
Napata lita kama 15 to 20 a day kwa ngombe mmoja.... fuga wachache uwamudu. I have only three wa kisasa
Una mbegu inayotoa matumaini hasa kwenye ukamuaji , upo mkoa Gani , pia mbegu ulipata wapi ya ngombe
 
NDAMA MUACHISHE KUNYONYA MIEZI MIWILI KABLA YA KUZAA.
APPLY DCT: NUNUA TUBES ZA DRY COW THERAPY DCT), NI KAMA KILA TUBE, KILA TEAT WEKA TUBE MOJA.
Nenda dawa za mifug uliza hizo DCT, wao wanazijua...

SCHEDULE YA KUACHA KUMKAMUA IN ORDER TO APPLY DRY COW THERAPY
DAY 1..................ASUBUHI

DAY 2...............ASUBUHI

DAY 3................ASUBUHI NA JIONI

DAY 4................JIONI

DAY 5 ................NIL (USIMKAMUE)

DAY 6.................JIONI

DA 7......................JIONI + DRY COW THERAPY

SIKU ZOTE HIZO ASIPEWE CONCENTRATE

MLISHE KWA DRY GRASSES NA IKIWEZEKANA ASIENDE MACHUNGANI

NB: HII NILIKUWA ADVISED NA DR WA MIFUGO

View attachment 3079852
OK nashukur na hizo DCT bei zake tafadhar zipoje kwa tube 1
 
Nina ngombe wa maziwa anasumbuliwa sana na reccurent mastitis. anakamuliwa kama lita 15 a day! tatizo ni nini na tiba yake ni nini?

Nilimfanyia drycow therapy, lakini baada ya kuzaa tu, mastitis hiyo within a week!

Please advise!
0654 67 5821, Dr Mwashibale huyu atakusaidia sana ni mtaalamu wa mifugo hasa Ngombe
 
Nina ngombe wa maziwa anasumbuliwa sana na reccurent mastitis. anakamuliwa kama lita 15 a day! tatizo ni nini na tiba yake ni nini?

Nilimfanyia drycow therapy, lakini baada ya kuzaa tu, mastitis hiyo within a week!

Please advise!
Nimepita Duka la AFRIFARMTZ sokota Dar leo nimewauliza wanasema wanaitibu hilo tatizo naomba uwasiliane nao0654014365 Dr Obed
 
Nina ngombe wa maziwa anasumbuliwa sana na reccurent mastitis. anakamuliwa kama lita 15 a day! tatizo ni nini na tiba yake ni nini?

Nilimfanyia drycow therapy, lakini baada ya kuzaa tu, mastitis hiyo within a week!

Please advise!
Habari mkuu samahani kwa usumbufu nina ng’ombe wangu wa maziwa anashida chuchu moja imekuwa ngumu ndani kuna kama kinyama kigumu hivi anakuwa mkali ukishika swali langu vipi tatizo hili ni kama ulikuwa nalo wewe?
 
YES HATA LEO HII 20/10/2024 NGOMBE WANGU ANAKITUPE HICHO KWENYE TITI.
NIMEMPIGA SINDANI YA PENSTREP NA KUINJECT PENSTREP HIYO HIYO KWENYE TITI HILO. SHE IS MAKING IMPROVEMENT...TRY THAT!
 
Asante ngoja nitafute hiyo maana hali sio Nzuri
 
HILI DUA LIPO SEHEMU GANI YA DAR, PLEASE
Lipo kwa sokota hapo, kama unatokea upande wa Buguruni ukipita taa tu hicho kituo cha sokota unashuka hapo upande huo huo wa kushoto unatembea mita kama 5 hivi utaona ukuta mwekundu na bango limeandikwa AFRIFARMTZ.
 
ukiweza fuga upate maziwa, mbolea ..... na kama mfanyakazi upate sehemu ya kutumia muda unapokuwa free
Napata lita kama 15 to 20 a day kwa ngombe mmoja.... fuga wachache uwamudu. I have only three wa kisasa
Hongera kwa kuwa na mifugo yenye utoaji mzuri wa maziwa. Mimi napata lita 4 - 5 kwa Ngombe kwa siku. Kama hautajali, Ngombe wako uliwachukuwa wapi ili nami nikatafute hapo na kuimarisha ujasiriamali wangu. Napatikana Dsm
 
Kwa lita hizo yupo vizuri sana ana mbegu Nzuri
 
Back
Top Bottom