REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Kuna taarifa kuna ng'ombe zaidi ya 6,000 na trekta zaidi ya 200 toka nchi jirani, yote kinyume cha sheria! Yatoke kabla hatujataifisha
Inadaiwa watu hawa ndio wanaochangia kwa kiasi kikubwa kwenye mgogoro wa Loliondo na kuharibu hifadhi ya taifa ya Serengeti.
Inadaiwa watu hawa ndio wanaochangia kwa kiasi kikubwa kwenye mgogoro wa Loliondo na kuharibu hifadhi ya taifa ya Serengeti.