Ngombe zaidi ya 6k na trekta 200 ya wakenya Loliondo yatakiwa kuondoshwa kabla hayajataifishwa

Ngombe zaidi ya 6k na trekta 200 ya wakenya Loliondo yatakiwa kuondoshwa kabla hayajataifishwa

Hapa ndio utaona kwamba wakenya hawafai kuwa ndugu.
Yaani wamevamia nchi na kufanya kama yao,wanaambiwa watoke wanaleta nyodo,hawa watu sijui wameumbwa siku gani
 
Lmao tanzania wanashida hamjaona wakimbizi kutoka kenya bado....nikama wazungu tutakuja tuwanyanyue kwenu msonge chini!!

Hebu tulia mkimbizi wewe. Unaona mpaka unajikana mwenyewe na unajifananisha na mzungu.
 
Instead of listening to the victims of human rights crime, Kigwangalla choses to listen to the "investor's" fantasies about "200 Kenyan tractors".
 
Kuna wakimbizi wengi kutoka Kenya nchini Tanzania na tutawafurusha wote warudi kwao sababu waliona Tanzania ni shamba la bibi yao.
Safiri uifunze kuishi na watu wewe lumumba

Swissme
 
Instead of listening to the victims of human rights crime, Kigwangalla choses to listen to the "investor's" fantasies about "200 Kenyan tractors".

Aisee maasai kuzaliwa Tz ni laana mazee dah!
 
Naona wakimbizi wanaanza kuingia taratibu. Naskia si kuna machafuko huko aisee.

Kuna wakimbizi wengi kutoka Kenya nchini Tanzania na tutawafurusha wote warudi kwao sababu waliona Tanzania ni shamba la bibi yao.

Alie kwambia wakimbizi nani!? hao ni wavamizi wanao itafuna Tanzania yetu bila huruma, waende tu kwao
Ndo hao watz wenzako wanawaita wakimbizi, heri tz mnapata wakimbizi wenye swag, wanakuja kwa trekta na ng'ombe wao, huku Kenya wakimbizi wanaingia na shida zao teleee.
 
Kenya ni nchi hatari sana, inajulikana hivyo duniani kote, tangu ipate Uhuru haijawahi kuwa na usalama wa kutosha, kwa kitaalamu tunasema "killings and insecurity are endemic in Kenya", kiasi kwamba wakenya wanachukulia mauaji ya watu hadi 50 Kwa mwezi ni jambo la kawaida kwao, Juzi Uhuru Kenyatta kwenye hotuba yake alisema, uchaguzi wa wa August 8 ulifanyika katika mazingira ya utulivu na maani, wakati watu zaidi ya 30 waliuliwa na polisi, sasa unajiuliza, ili Kenya waseme uchaguzi haukuwa wa amani ni mpaka watu wangapi wawe wamekufa?

Kwamba wamezoea Damu ya mtu kumwagika
watu 30 Kawaida !
 
Ndo hao watz wenzako wanawaita wakimbizi, heri tz mnapata wakimbizi wenye swag, wanakuja kwa trekta na ng'ombe wao, huku Kenya wakimbizi wanaingia na shida zao teleee.
Sababu mazarau yamezidi tunataka kuwaonesha kwamba hamuwezi kuishi bila Tanzania sasa tutaona hizo trekta zitaenda kulima ardhi ipi huko Kenya
 
Hapa ndio utaona kwamba wakenya hawafai kuwa ndugu.
Yaani wamevamia nchi na kufanya kama yao,wanaambiwa watoke wanaleta nyodo,hawa watu sijui wameumbwa siku gani
Hakuna jamii ya HOVYO kushirikiana nayo kama jamii ya WAKENYA!! Ningekuwa Magufuli ningeamrisha Ujengwe Ukuta kutenganisha Tz na kenya!! Tena ukuta wa mita Tisa kwenda juu, hatuwezi kuwa na majirani Wezi kama hao!Nalaabuk!
 
Yaani wanakuja kulima kwenye ardhi yetu,mazao wanapeleka kenya!
 
Back
Top Bottom