Wakimbizi wanakuja na trekta na ng'ombe pia?Naona wakimbizi wanaanza kuingia taratibu. Naskia si kuna machafuko huko aisee.
Wakimbizi wanakuja na trekta na ng'ombe pia?
Sasa mnapanga kutaifisha mali ya wakimbizi? Hii nayo mpya.Zaidi ya hivyo uvijuavyo.
Lmao tanzania wanashida hamjaona wakimbizi kutoka kenya bado....nikama wazungu tutakuja tuwanyanyue kwenu msonge chini!!Sasa mnapanga kutaifisha mali ya wakimbizi? Hii nayo mpya.
Semeni tu mnavizia mali yao. Acheni longolongo za kujifanya malaika. Kawaida ya watu wavivu wenye wivu. Kenya kuna wakimbizi wengi wasomali, wasudi, warundi, wakongo, warwanda hadi Gado na Munishi mwenyewe lakini hatuonagi sifa kujipiga vifua eti tumewapa sujui hili sijui sisi tunasaidia huyu. Umbea tuliachia wanawake na watz.Kuna wakimbizi wengi kutoka Kenya nchini Tanzania na tutawafurusha wote warudi kwao sababu waliona Tanzania ni shamba la bibi yao.
Semeni tu mnavizia mali yao. Acheni longolongo za kujifanya malaika. Kawaida ya watu wavivu wenye wivu. Kenya kuna wakimbizi wengi wasomali, wasudi, warundi, wakongo, warwanda hadi Gado na Munishi mwenyewe lakini hatuonagi sifa kujipiga vifua eti tumewapa sujui hili sijui sisi tunasaidia huyu. Umbea tuliachia wanawake na watz.
Siyo Kujifurahisha kwa habari muhim kama hiiLmao tanzania wanashida hamjaona wakimbizi kutoka kenya bado....nikama wazungu tutakuja tuwanyanyue kwenu msonge chini!!
Inaonyesha Kenya Bunduki wanamiliki hovyo hovyoAussie teacher shot dead in Kenya
Mauaji kama haya Kenya ni jambo la kawaida sana, wala sio kitu cha kushangaza RIP teacher
Uliona hapo juu wakenya waliweka picha za wapokot wakiwa na AK47 kiholela na wakawa wanawasifia kuwa ni mashujaa, unategemea nini?, hizi silaha zinazomilikiwa na watu kiholela huenda zikatumika hivi karibu kwenye fujo za uchaguzi ujao.Inaonyesha Kenya Bunduki wanamiliki hovyo hovyo
Aisee! Hii nihatari na sio jambo lakuiga sisiUliona hapo juu wakenya waliweka picha za wapokot wakiwa na AK47 kiholela na wakawa wanawasifia kuwa ni mashujaa, unategemea nini?, hizi silaha zinazomilikiwa na watu kiholela huenda zikatumika hivi karibu kwenye fujo za uchaguzi ujao.
Kenya ni nchi hatari sana, inajulikana hivyo duniani kote, tangu ipate Uhuru haijawahi kuwa na usalama wa kutosha, kwa kitaalamu tunasema "killings and insecurity are endemic in Kenya", kiasi kwamba wakenya wanachukulia mauaji ya watu hadi 50 Kwa mwezi ni jambo la kawaida kwao, Juzi Uhuru Kenyatta kwenye hotuba yake alisema, uchaguzi wa wa August 8 ulifanyika katika mazingira ya utulivu na maani, wakati watu zaidi ya 30 waliuliwa na polisi, sasa unajiuliza, ili Kenya waseme uchaguzi haukuwa wa amani ni mpaka watu wangapi wawe wamekufa?Aisee! Hii nihatari na sio jambo lakuiga sisi
hihihihi....nyinyiHahaha nani hao wajaribu?