joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Lmao tanzania wanashida hamjaona wakimbizi kutoka kenya bado....nikama wazungu tutakuja tuwanyanyue kwenu msonge chini!!
Safiri uifunze kuishi na watu wewe lumumbaKuna wakimbizi wengi kutoka Kenya nchini Tanzania na tutawafurusha wote warudi kwao sababu waliona Tanzania ni shamba la bibi yao.
Tumezuia ngombe wenu,kama mnalakufanya simfanye?idiotshihihihi....nyinyi
Aisee maasai kuzaliwa Tz ni laana mazee dah!Instead of listening to the victims of human rights crime, Kigwangalla choses to listen to the "investor's" fantasies about "200 Kenyan tractors".
Alie kwambia wakimbizi nani!? hao ni wavamizi wanao itafuna Tanzania yetu bila huruma, waende tu kwaoSasa mnapanga kutaifisha mali ya wakimbizi? Hii nayo mpya.
Naona wakimbizi wanaanza kuingia taratibu. Naskia si kuna machafuko huko aisee.
Kuna wakimbizi wengi kutoka Kenya nchini Tanzania na tutawafurusha wote warudi kwao sababu waliona Tanzania ni shamba la bibi yao.
Ndo hao watz wenzako wanawaita wakimbizi, heri tz mnapata wakimbizi wenye swag, wanakuja kwa trekta na ng'ombe wao, huku Kenya wakimbizi wanaingia na shida zao teleee.Alie kwambia wakimbizi nani!? hao ni wavamizi wanao itafuna Tanzania yetu bila huruma, waende tu kwao
Kenya ni nchi hatari sana, inajulikana hivyo duniani kote, tangu ipate Uhuru haijawahi kuwa na usalama wa kutosha, kwa kitaalamu tunasema "killings and insecurity are endemic in Kenya", kiasi kwamba wakenya wanachukulia mauaji ya watu hadi 50 Kwa mwezi ni jambo la kawaida kwao, Juzi Uhuru Kenyatta kwenye hotuba yake alisema, uchaguzi wa wa August 8 ulifanyika katika mazingira ya utulivu na maani, wakati watu zaidi ya 30 waliuliwa na polisi, sasa unajiuliza, ili Kenya waseme uchaguzi haukuwa wa amani ni mpaka watu wangapi wawe wamekufa?
Nikweli kufa watu 30 Kwamwezi mmoja kwe nu ni kawaida?Ndo hao watz wenzako wanawaita wakimbizi, heri tz mnapata wakimbizi wenye swag, wanakuja kwa trekta na ng'ombe wao, huku Kenya wakimbizi wanaingia na shida zao teleee.
Sababu mazarau yamezidi tunataka kuwaonesha kwamba hamuwezi kuishi bila Tanzania sasa tutaona hizo trekta zitaenda kulima ardhi ipi huko KenyaNdo hao watz wenzako wanawaita wakimbizi, heri tz mnapata wakimbizi wenye swag, wanakuja kwa trekta na ng'ombe wao, huku Kenya wakimbizi wanaingia na shida zao teleee.
Hakuna jamii ya HOVYO kushirikiana nayo kama jamii ya WAKENYA!! Ningekuwa Magufuli ningeamrisha Ujengwe Ukuta kutenganisha Tz na kenya!! Tena ukuta wa mita Tisa kwenda juu, hatuwezi kuwa na majirani Wezi kama hao!Nalaabuk!Hapa ndio utaona kwamba wakenya hawafai kuwa ndugu.
Yaani wamevamia nchi na kufanya kama yao,wanaambiwa watoke wanaleta nyodo,hawa watu sijui wameumbwa siku gani
Yaani wanakuja kulima kwenye ardhi yetu,mazao wanapeleka kenya!Hakuna jamii ya HOVYO kushirikiana nayo kama jamii ya WAKENYA!! Ningekuwa Magufuli ningeamrisha Ujengwe Ukuta kutenganisha Tz na kenya!! Tena ukuta wa mita Tisa kwenda juu, hatuwezi kuwa na majirani Wezi kama hao!Nalaabuk!