Uchaguzi 2020 Ngome kuu za CCM (Kanda ya Kati na Kanda ya Ziwa) walizokuwa wakizitegemea zimetikiswa

Uchaguzi 2020 Ngome kuu za CCM (Kanda ya Kati na Kanda ya Ziwa) walizokuwa wakizitegemea zimetikiswa

Frankly speaking, Kanda ya Ziwa haijawahi kuwa ngome ya CCM ila mwaka 2015 kura zolipigwa kiukabila sana na pia watu walikuwa hawamjui vizuri 🐍🐍 Magu.
Hii pia inaweza kuwa kweli. Ukabila ulichangia na vile vile hawakumjua binamungu ni nani
 
Mt

Mtakoma mwaka huu. Mmebaki kukusanya wanam
funzi wa primary tu kwenye mikutano. Wananchi wamewakataa
Hizo ni propaganda tu.Watu wengi tu wanaenda kwenye kila mkutano.Kuna gap kubwa la uelewa kwa watanzania.Lazima ufanye hesabu ndefu kidogo.Si kila anaekuja mkutanoni anakupigia kura
 
Hizo ni propaganda tu.Watu wengi tu wanaenda kwenye kila mkutano.Kuna gap kubwa la uelewa kwa watanzania.Lazima ufanye hesabu ndefu kidogo.Si kila anaekuja mkutanoni anakupigia kura
Unadhani hao watu hawana kazi zao za kufanya kama wewe?? Kama watu sio hoja Jpm anawabeba kwenye malori wa nini?? Mbona analazisha hadi wanafunzi wavae nguo za nyumbani waende kwenye mikutano tena akijua kabia wanafunzi hao hawa a hata sifa ya kupiga kura?? Amekata tamaa.
 
Nawahurumia CHADEMA watakavyogalagazwa tarehe 28 Octoba maana watu wakienda kumshangaa Lissu ndo wao wanahesabu ushindi kumbe tusiokuwa na habari za kwenda kwenye kampeni za wagombea tupo wengi sana na sisi ndo wapiga kura wazuri wenye mitazamo chanya
 
Unadhani hao watu hawana kazi zao za kufanya kama wewe?? Kama watu sio hoja Jpm anawabeba kwenye malori wa nini?? Mbona analazisha hadi wanafunzi wavae nguo za nyumbani waende kwenye mikutano tena akijua kabia wanafunzi hao hawa a hata sifa ya kupiga kura?? Amekata tamaa.
Wanafunzi ni propaganda ndugu.Kwa sisi wana statistics, tunatumia multiple regression analysis kujua ,significant na insignificant. Lakin nyie wa mitandaoni mnasikiliza kila uchafu mnameza
 
Wanafunzi ni propaganda ndugu.Kwa sisi wana statistics, tunatumia multiple regression analysis kujua ,significant na insignificant. Lakin nyie wa mitandaoni mnasikiliza kila uchafu mnameza
Propaganda kivipi wakati tunawaona na sisi wengibe ni waandamizi kwenye Elimu tumepata barua za maagizo. Acha uongo hatubahatishi.
 
Ndio maana anajaribu kuongea tena kisukuma majukwaani akiamini itakuwa kama 2015.

Wasukuma wenyewe pamba yao imeozea ndani, wanamwangalia kama Juha tu.

Kura za kikabila ziliwasaidia sana CCM maana hata Shinyanga ilikuwa haikosi majimbo 3/4 ya upinzani lakini 2015 CCM walizoa yote.
Hehehe anajaribu kujiweka karibu na wao. Hahaha wamegundua jamaa hafai.
 
Sio kweli Watu watatu ndio walikuwa mhimili wa hiyo kanda Lowasa, Slaa na Ndesamburo mtakiona cha mtema kuni tarehe 28 October

Dar es salaam wana Dar wameshawashia Taa za hazard na ving'ora kuwa chadema hamna chenu Dar

Uzinduzi wenu mliona ulivyodorora Dar hadi aibu
Nani amekudanganya? Unatujua watu wa kaskazini kweli wewe? Tunakula na kipofu hatumgusi mkono. Kamwulize Mramba ilikuaje tena akiwa kabisa waziri wa fedha. Kamwulize Davis Mosha kilimpata nini. Sasa hivi watu wanajilia tuu vihela vya kampeni. Kwenye kura wanajuaga wanamchagua nani wenyewe. Huo mkoa wa Kilimanjaro umekua ni mpinzani toka historia ya Mkoloni ndo sembuse leo?
 
Chadema mpaka sasa majimbo wanayojivunia kwamba wanaweza kushinda hayazidi 10
 
Kaskazini bado itabaki kuwa ngome ya Chadema hata baada ya Slaa, Lowassa mwenyewe aliikuta na ameiacha kama ilivyo.
Niambie kaskazini hii ya chadema ya Lisu ukiacha Lema na Mbowe kuna mbunge yupi atapita mwaka huu?
 
Hadi sasa kimikakati bado CHADEMA inaongoza kwa kushambulia ngome za mpinzani wao wa karibu CCM kwa muda mrefu, nafikiri ‘strategist’ wao aliwashauri vizuri.
endelea kujiongopea
 
Attachments

  • VID-20200928-WA0029.mp4
    1 MB
Kazunguka nchi au kazunguka mijini?
Wanaelewa nchi sasa hawa?

Wenzio hata hapa jf wanaona ni nchi.

Ndio maana hata Membe alipoona nchi ya kwenye mitandao akafikiri kashakuwa rais
 
Back
Top Bottom