Uchaguzi 2020 Ngome kuu za CCM (Kanda ya Kati na Kanda ya Ziwa) walizokuwa wakizitegemea zimetikiswa

Dar bado haijaeleweka Nani anaekubalika
 
Porojo tupu. Katafute malimao kabisaaa, Magufuli JP ndio rais wako.
 
Ninangoja vilio vyenu, maana mumewekeza sana kwenye wahudhurio la watu.
 
Wenzako wanapiga honi ya Treni kama vuvuzela Arusha....NI YEYE LEMA
 
Kaskazini bado itabaki kuwa ngome ya Chadema hata baada ya Slaa, Lowassa mwenyewe aliikuta na ameiacha kama ilivyo.
Slaa takataka tu yule,alibebwa na chama siyo yeye pekee
 
Mapishi
 
Subiri next round hiyo dar utanambia halafu mwaka huu lissu afungie kampeni dar tena!
 
Porojo tu hizo.
 
Subiri next round hiyo dar utanambia halafu mwaka huu lissu afungie kampeni dar tena!
Ile mikutano mitatu ya Mbagala Kawe na Segerea ilikiwa ya kihistoria ukiunganisha pamoja ni mafuriko ya kufa mtu. Jangwani isingetosha.
 
Porojo tupu. Katafute malimao kabisaaa, Magufuli JP ndio rais wako.
Safari hii wizi hauta kuwepo kwani watu wamejipanga Hadi kufungua saver ya mtambo utakao tumika kurushia matokeo ili kubaini matokeo yanayo tangazwa na tume na Yale yaliyo halisi yaliyopigwa.
Wizi sasa Basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…