Ngome ya CCM ipo Dodoma, Tanga na Pwani

Ngome ya CCM ipo Dodoma, Tanga na Pwani

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Ngome ya CCM ipo Dodoma, Tanga, na Pwani. Mikoa hii inathaminiwa na CCM, kwani wanapewa fadhila kwa kuwapa wabunge wao nafasi za uwaziri.

Katika kipindi kijacho, tunaweza kuona viongozi kama:

  • 2025: Samia Suluhu Hassan
  • 2030: Kassim Majaliwa
  • 2040: January Makamba
  • 2050: Ridhiwan Kikwete

Lakini, huenda mwaka 2060 ikawa wakati wa upinzani kushika usukani. Hali hii inaweza kubadilika kulingana na matukio ya kisiasa na mwelekeo wa wananchi.
 
Ikitokea hivyo baada ya Samia,2030 hawezi kuwa Muislam tena.
 
hii mikoa tanga ,pwani na dodoma ndio ngome ya ccm ccm inawalipa fadhila kwa kuwapa wabunge wao uwaziri.

2025 samia.
2030 kasimu majaliwa.
2040 January makamba.
2050 ridhiwan kikwete.

2060 upinzani unashika usukani
Mikoa ya wapumbavu
Hutuwashangai
 
hii mikoa tanga ,pwani na dodoma ndio ngome ya ccm ccm inawalipa fadhila kwa kuwapa wabunge wao uwaziri.

2025 samia.
2030 kasimu majaliwa.
2040 January makamba.
2050 ridhiwan kikwete.

2060 upinzani unashika usukani
Siku hizi hata watu wa pwani mna brag baada ya kuwapa nafasi kwa upendeleo, shule ni vilaza, kwenye kazi hivyo hivyo, kwenye siasa mnabebwa
 
Back
Top Bottom