Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

Sina uhakika kama research uliyoifanya ni ya kweli! Wajawazito wote wangekuwa basi na HIV kwa criteria hiyo mana ni lazima wapime pale tu wanapobeba ujauzito.
 
Pole kjn, ila kwa Tukio Hilo nilizan utakuj Padre tuu
 
Sina uhakika kama research uliyoifanya ni ya kweli! Wajawazito wote wangekuwa basi na HIV kwa criteria hiyo mana ni lazima wapime pale tu wanapobeba ujauzito.

Soma vizur nimeandika wasipime nyumbani... ni vizur wakapime hospital
 
Ila dunia haina wema..ukitulia hutaki uhuni unaitwa shoga.

Hili jambo lanikera mno.
U nailed it comrade , ukiwa tulii utaambiwa domo zege kejeri kibao, ukiwa kicheche napoo masimangoo

Ni kusimamaia unachoamini tuu
 
Kama sio ufala basi ulikuwa umerogwa yani demu anakutegea umgegede kipindi yuko period alafu pamoja na kujua unamchekea tu[emoji848]
 
Duh hako kabinti kalokole kalikuwa na mapepo makali sanaaaaaa
 
Looh haya mambo magumu hasa pale unaposubiri miezi mitatu.

Omba Mungu yasikukute maana utaisha kwa mawazo.

Na wale wazee wa kimasihara na wa show za kibabe hadi pawake moto, jueni pakiwaka moto huenda pamewasha moto mwingine.

Vijana na wazee wenzangu tutunze afya zetu. Kama hatujijali, basi tuwajali wengine hasa wanandoa.

Eeeh Mungu utuhurumie na kuturehemu kwa fadhili na huruma zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…