Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni nn kilicho msibuuMmh. Pole yake.
Ila kuna magonjwa yana aibu jamani yaani hapo kila anapopita tu lazima watu wana jibu la nini kilichomsibu. Lol
Hapo umenenawatanzania wape picha stori watatunga wenyewe, mara madhara ya kuzama chumvini mara nini? yote kupiga ramli.
Kwa umri wa dogo (angalia ukomavu wa ngozi na kidevu bado cheupe) yawezekana hata uvinza hakujui
ingekuwa ni rahisi ivo bas wengi tungekuwa na matatizo, huyo dogo kala kitu kikamletea mzio ama homa imemjaza vipele tu.
hakuna cha uvinza wala kasulu
[emoji38]Kajitia fundi kwa malaya, matokeo yako ni hayo