Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni elimu tosha kwa wanaopenda kuzama chumvini kusaka madini! Mwisho wa siku wanapata cancer!
Lets unite and beat cancer!
Problems
Nje cancer ndani Ukimwi!! Ama kweli kitumbua kimeingia mchanga!!
Hii ni elimu tosha kwa wanaopenda kuzama chumvini kusaka madini! Mwisho wa siku wanapata cancer!
Lets unite and beat cancer!
na tunaolamba Koni je!!!!!!!!!
Koni haina madhara!! Its good to your health and your patner
Ajali kazini, i dont care.
Kama ndio hivi basi hakuna atakaye baki salama..
Nyetk ni miongoni mwa watakaobaki salamaSiye tunaorukiana tu baada ya kuchojoa nguo mnatuita washamba! Haya sasa na mambo yenu ya kisasa!