duh! hii sasa kali jamani loh! mtu akigonga mlango je??????unashangaa hilo mkuu. tena bora hao wamefanyia chooni. wengine hufanyia ofisini kabisa tena kwenye hiyo meza ya kazi
dah kazi kwelikweli....swali la kizushi hivyo vyoo vyenu ni vya kukaa au?kama vya kukaa angalau maana ninapiga picha jinsi hiyo shughuli ilivyokuwa. lakini ni tabia chafu ndo unakuta watu wanaondoka na magonjwa mengine ya ajabu ajabu ukiachilia ya ngono kutokana na hali halisi ya vyoo inavyokuwa
ni watu wenye ndoa zao mbona mwandishi kasema lizzykaaaazi kweli kweli.
Ukute ni watu wenye ndoa zao. . . .
yaani huyu mwanamke kanishangaza sana.raha ya mwanamke ni kuringa bwana huku duniani.kama unamegwa chooni kama kuku dah yupo easy sana huyu mama kweli ndoa zina watu lohin all seriousness, haya mambo ya ngono maofisini ni yanatisha sana.
Sasa hebu fikiria, mume au mkeo kaondoka nyumbani mmeagana vizuri tu. Wewe unajua mwenza wako yupo kazini anawajibika kumbe moja ya mambo anayoyafanya huko ni kuchekeana chekeana na kungonoka na watu chooni.
Halafu jioni anarudi nyumbani as if nothing has happened. Sasa wewe mwenza wake utajuaje kama mwenzio kakucheat hapo?
Hahahaaa.....ndo maana nadhani kuwa idadi kubwa ya watu wanaochitiwa huwa hata hawajui kuwa wanachitiwa. Ama kweli uaminifu ni siri ya mtu moyoni.
unashangaa hilo mkuu. tena bora hao wamefanyia chooni. wengine hufanyia ofisini kabisa tena kwenye hiyo meza ya kazi
Jamani ngono ni huduma kwa ajili ya mwili kama vile chakula. Ukiwa na njaa waweza kula hotelini si lazima uende home. Halafu ngono si lazima kiwepo kitanda au godoro, simply any where provided mko wenyewe. Inategemeana na design ya choo za maofisi jinsi zilivyo. I can tell you kwenye baadhi ya maofisi chooni is a perfect place for a office afternoon quickie:eyebrows:
nasikia siku hizi watu wanamegwa lunch time. we umekaa unajitapa mi mme/mke wangu hachelewi kurudi nyumbani, kumbe mwenzio kajimaliza lunch time. Yaani hizi ndoa jamani, mi roho huwa inaniuma sana nikiona hayo mambo maoficin. ilishatoke mme wa rafiki yangu anafanya hayo mambo mi nikajua, swali likawa je, nimwambie shost au niache. yaani ni mtihani we acha tu
nasikia siku hizi watu wanamegwa lunch time. we umekaa unajitapa mi mme/mke wangu hachelewi kurudi nyumbani, kumbe mwenzio kajimaliza lunch time. Yaani hizi ndoa jamani, mi roho huwa inaniuma sana nikiona hayo mambo maoficin. ilishatoke mme wa rafiki yangu anafanya hayo mambo mi nikajua, swali likawa je, nimwambie shost au niache. yaani ni mtihani we acha tu
Hiyo ya kutiwa na kutia maofisini wala siyo ya siku hizi. Ipo tokea zamani.
Wewe binti wewe.......dah kazi kwelikweli....swali la kizushi hivyo vyoo vyenu ni vya kukaa au?kama vya kukaa angalau maana ninapiga picha jinsi hiyo shughuli ilivyokuwa. lakini ni tabia chafu ndo unakuta watu wanaondoka na magonjwa mengine ya ajabu ajabu ukiachilia ya ngono kutokana na hali halisi ya vyoo inavyokuwa