Ngono maofisini

Ngono maofisini

hujui kama kitu cha wizi ndo kinanoga? Acha wasuuzane nyoyo zao
 
Kaaaazi kweli kweli.

Ukute ni watu wenye ndoa zao. . . .
 
dah kazi kwelikweli....swali la kizushi hivyo vyoo vyenu ni vya kukaa au?kama vya kukaa angalau maana ninapiga picha jinsi hiyo shughuli ilivyokuwa. lakini ni tabia chafu ndo unakuta watu wanaondoka na magonjwa mengine ya ajabu ajabu ukiachilia ya ngono kutokana na hali halisi ya vyoo inavyokuwa

Mh, vyoo ni vya kukaa jamani!Laiti kama tungekuwa age mates, ningewachana live! Me nishaonaga makahaba wa bar na wale wanaume walevi na wachafu amabao hajajaenda suna ndo wanamalizanaga vyooni!
 
In all seriousness, haya mambo ya ngono maofisini ni yanatisha sana.

Sasa hebu fikiria, mume au mkeo kaondoka nyumbani mmeagana vizuri tu. Wewe unajua mwenza wako yupo kazini anawajibika kumbe moja ya mambo anayoyafanya huko ni kuchekeana chekeana na kungonoka na watu chooni.

Halafu jioni anarudi nyumbani as if nothing has happened. Sasa wewe mwenza wake utajuaje kama mwenzio kakucheat hapo?

Hahahaaa.....ndo maana nadhani kuwa idadi kubwa ya watu wanaochitiwa huwa hata hawajui kuwa wanachitiwa. Ama kweli uaminifu ni siri ya mtu moyoni.
 
mm nilimkutaga jamaa anapiga punyeto chooni hapa ofisini..sema nikakauka maana jamaa ni meneja wangu hapa Job!
 
in all seriousness, haya mambo ya ngono maofisini ni yanatisha sana.

Sasa hebu fikiria, mume au mkeo kaondoka nyumbani mmeagana vizuri tu. Wewe unajua mwenza wako yupo kazini anawajibika kumbe moja ya mambo anayoyafanya huko ni kuchekeana chekeana na kungonoka na watu chooni.

Halafu jioni anarudi nyumbani as if nothing has happened. Sasa wewe mwenza wake utajuaje kama mwenzio kakucheat hapo?

Hahahaaa.....ndo maana nadhani kuwa idadi kubwa ya watu wanaochitiwa huwa hata hawajui kuwa wanachitiwa. Ama kweli uaminifu ni siri ya mtu moyoni.
yaani huyu mwanamke kanishangaza sana.raha ya mwanamke ni kuringa bwana huku duniani.kama unamegwa chooni kama kuku dah yupo easy sana huyu mama kweli ndoa zina watu loh
 
unashangaa hilo mkuu. tena bora hao wamefanyia chooni. wengine hufanyia ofisini kabisa tena kwenye hiyo meza ya kazi

To be honest nadhani kwa wale wenzangu Wakristo tunakubaliana kuwa hizii ndio siku za mwisho!Get prepared guys, tuache maovu tumrudie Mungu jamani!Kila kona uovu umeshika hatamu, lol!
 
Jamani ngono ni huduma kwa ajili ya mwili kama vile chakula. Ukiwa na njaa waweza kula hotelini si lazima uende home. Halafu ngono si lazima kiwepo kitanda au godoro, simply any where provided mko wenyewe. Inategemeana na design ya choo za maofisi jinsi zilivyo. I can tell you kwenye baadhi ya maofisi chooni is a perfect place for a office afternoon quickie:eyebrows:
 
nasikia siku hizi watu wanamegwa lunch time. we umekaa unajitapa mi mme/mke wangu hachelewi kurudi nyumbani, kumbe mwenzio kajimaliza lunch time. Yaani hizi ndoa jamani, mi roho huwa inaniuma sana nikiona hayo mambo maoficin. ilishatoke mme wa rafiki yangu anafanya hayo mambo mi nikajua, swali likawa je, nimwambie shost au niache. yaani ni mtihani we acha tu
 
Nadhani we ni mmoja wa wanaofanyaga ngono toilet, lol, uache mwenzangu sio ustaarabu
 
Hahahaha hizo ni fantasy za watu :lol:

kwahiyo jamaa wakapata ka fling hehehe

Hamna kitu kizuri kama kufanya hizo mambo kwenye sehemu zisizo rasmi wenyewe wanadai :biggrin:
 
nasikia siku hizi watu wanamegwa lunch time. we umekaa unajitapa mi mme/mke wangu hachelewi kurudi nyumbani, kumbe mwenzio kajimaliza lunch time. Yaani hizi ndoa jamani, mi roho huwa inaniuma sana nikiona hayo mambo maoficin. ilishatoke mme wa rafiki yangu anafanya hayo mambo mi nikajua, swali likawa je, nimwambie shost au niache. yaani ni mtihani we acha tu

Hiyo ya kutiwa na kutia maofisini wala siyo ya siku hizi. Ipo tokea zamani.
 
nasikia siku hizi watu wanamegwa lunch time. we umekaa unajitapa mi mme/mke wangu hachelewi kurudi nyumbani, kumbe mwenzio kajimaliza lunch time. Yaani hizi ndoa jamani, mi roho huwa inaniuma sana nikiona hayo mambo maoficin. ilishatoke mme wa rafiki yangu anafanya hayo mambo mi nikajua, swali likawa je, nimwambie shost au niache. yaani ni mtihani we acha tu

Muhinda,

B ni jibu sahihi
 
dah kazi kwelikweli....swali la kizushi hivyo vyoo vyenu ni vya kukaa au?kama vya kukaa angalau maana ninapiga picha jinsi hiyo shughuli ilivyokuwa. lakini ni tabia chafu ndo unakuta watu wanaondoka na magonjwa mengine ya ajabu ajabu ukiachilia ya ngono kutokana na hali halisi ya vyoo inavyokuwa
Wewe binti wewe.......

Hujambo lakini? Happy New year!!
 
Kuna story ilitoke hapa jamaa kamaindi sana eti kisa mskhaji mmoja hivi hapa ofisini anatembea na mfanyakazi mwingine ambaye ni mke wa mtu, jamaa kamaindi kaenda kusema kwa bosi; duh alichojibiwa ni kwamba ofisi ilikua output ya kazi zao na sio mambo binafsi, hapoo jamaa alichoka, sasa na wewe Mpwa better keep quiet angalia salary yako tu hata hivyo next time wape hii tutorial hapa chini labda yaweza kuwasaidia kiasi. How to Have Sex in the Office and Not Get Caught - YouTube
 
Back
Top Bottom