Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Ni haki kwa wasichana wasifanye ngono mpaka waolewe? Ndoa ngapi zinafungwa siku hizi? Je kuna uhakika kila msichana atapata wa kumuoa kabla hajafikia utu uzima? Naomba warasimu wanijibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni haki kwa wasichana wasifanye ngono mpaka waolewe?
Ndoa ngapi zinafungwa siku hizi?
Je kuna uhakika kila msichana atapata wa kumuoa kabla hajafikia utu uzima?
Ni haki na ni wajibu wajitunze, wasifanye ngono mpaka watakapoolewa kwani tendo hilo lina heshima yake na miiko inayolizunguka. Mwenyezi Mungu alitaka lifanywe na watu wa ndoa TU.Ndiyo kwa heshima linaitwa Tendo la Ndoa. Likifanywa nje ya ndoa linapata majina mengine kuonesha kwamba si mahali pake. Ndo mana utasikia: uzinzi, uzinifu, uasherati, nk.Ni haki kwa wasichana wasifanye ngono mpaka waolewe? Ndoa ngapi zinafungwa siku hizi? Je kuna uhakika kila msichana atapata wa kumuoa kabla hajafikia utu uzima? Naomba warasimu wanijibu.
Ni haki kwa wasichana wasifanye ngono mpaka waolewe? Ndoa ngapi zinafungwa siku hizi? Je kuna uhakika kila msichana atapata wa kumuoa kabla hajafikia utu uzima? Naomba warasimu wanijibu.
Uzinifu tu, hakuna starehe wala nini.siku hizi mambo imebadilika kwani ngono sio mpaka uolewe bali ni starehe pia.