Ngono na kifo vipo karibu, umeoa/umeolewa tulizana na ndoa yako

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Habari wa jukwaa,

Kuna watu wengi wanafeli hapa, unakuta mwanaume kaoa halafu anamtamani mke wa mwenzie. Hivi siku ukamfuma wa kwako itakuwaje?

Jambazi akiibiwa uwa anaua, lakini yeye hajui kuwa mtu akiibiwa huwa anapata matatizo gani.

Ukioa punguza mihemko, maji ndio yale yale sema visima tofauti!
 
Tupo tunaondoa na bado tunamichepuko huu mwaka wa 20

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…