kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?
Huwa halitendwi gizani, bali chumbani kukiwa na mwanga wa kutosha. Hukuhudhuria semina ya ndoa wewe? Lazima umuone mwenzio yukoje, naye akuone...kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?
Mhandisi huwa unanikosha...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!salama lakini?Tendo hili latendwa wakati wowote kaka iwe gizani au kwenye mwanga. Miguno dada zetu wa cku ni ladhima hiyo haiepukiki, watu wengine wakickia unategemea nini hapo?!!! Hiyo ni raha ya wawili bulaza.
kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?