Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?
Kwa nini huwa huwezi kutembea uchi, au nusu uchi, bila suruali, kaptula au chupi?