Ngoo!Ngooo! Ngoooo! Hodiiiiiii wenyeji!

Le Doctor

Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
48
Reaction score
11
Mabibi na mabwana.Kwa heshima na taadhima ninaomba kukaribishwa katika mji wenu uliojawa sifa zote za mhamiaji kama mimi kuzifurahia.Naomba ushirikiano wenu.
 
Mabibi na mabwana.Kwa heshima na taadhima ninaomba kukaribishwa katika mji wenu uliojawa sifa zote za mhamiaji kama mimi kuzifurahia.Naomba ushirikiano wenu.
Karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…