Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu JF.
Karibu sana.Mabibi na mabwana.Kwa heshima na taadhima ninaomba kukaribishwa katika mji wenu uliojawa sifa zote za mhamiaji kama mimi kuzifurahia.Naomba ushirikiano wenu.
Karibu sana.
Karibu sana jf mkubwa,kinywaji?
Karibu sana jf