Ngorongoro Conservation Area Authority(NCAA): Mtu mwenye sifa za Principal Ecologist Tanzania ni mmoja tu na anatoka Ofisi ya RC wa Arusha


You are very right! I know of dozens and dozens of staff in the NCAA who are absurdly clueless and know absolutely nothing about sustainable conservation strategies..
All they do is to work on "business-as-usual" fashion. They have lost vision, creativity, and passion! Instead, they are just there to worship and praise their godfathers who granted them those top positions!
Very disturbing indeed!
 
Uko sahihi mleta maada. Niliwahi apply position ya Engineering Manager NCAA. Kati ya Applicants watano tulioitwa, watatu walikuwa Engineers within NCAA. Tukiwa kwenye waiting room Impalla Hotel, Applicant mmoja ambaye tulisoma wote UDSM na yupo NCAA, kanidokeza kuwa kimsing kuna mtu anakaimu hiyo nafasi, na ndiye atakaye chukuliwa. Na ikawa hivyo. Cha ajabu zaidi, kwenye Panel ya Interview kuliwa na watu zaidi ya 15. Including all Board Members. Nakumbuka hata Ndugai alikuwepo.Tuliishia tu kupata Per diem allowances ambazo zilikuwa nono hasa.....
 
It's a hundred percent true what you are saying.Ndugu yangu aliomba kazi mwaka jana,akaitwa kazin kwa kupigiwa simu na meseji.Cha ajabu aliporipot anaambiwa aliitwa kimakosa.Akarudishiwa nauli na gharama zingine.Akafuatilia but all was in vain.NCAA ni jipu haswa wachache Sana wanaajiriwa kwa haki!
 
NGORONGORO kama huna refa andika maumivu mkuu utaitwa kwenye interview kusindikiza wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…