Sijawahi kumkubali kiongozi yoyote wa tff natamani kiwepo kipengele cha kuuawa pindi mtu akishindwa timiza lengo lake.....TFF inafanya masihara sana na timu za Taifa.
Kwa hisani ya chama chetu chenye viwanja nchi nzima.Hii timu hatukuitilia maanani toka mwanzo.
Kocha anachukuliwa toka kijiweni hana rekodi zozote za kumpa hiyo nafasi wacha tuvune tulichopanda
Simba kesho kuipiga yope mbona iko wazi mkuuMagundu hadi kwa watoto. Kesho Simba nao wanaukalia
Kuna dalili zozote umeziona?Magundu hadi kwa watoto. Kesho Simba nao wanaukalia
Plan ya kocha wetu ilikuwa mbovu sanaRoho inaniuma hatari
Naona nikalale tu
Yaani tushakula 3 ndani ya 15 minutes
Asalaleee
hakuna kocha pale...hata yule golikipa nilishangaa eti ndie namba 1 kwamba anamzidi kiwango aliyeko benchi!!!! yule kipa hata mimi veterani namkalisha benchiToka nilivyo ona Walivyo cheza game ya kwanza ..nikasema siangalii tena
Morocco wamejipanga kwenye soka, wewe cheki tu mfano wa academic ya Barkane, sisi huku timu zetu za Yanga, Simba na Azam zinapambana kulogana wachezaji wasilione goli.Roho inaniuma hatari
Naona nikalale tu
Yaani tushakula 3 ndani ya 15 minutes
Asalaleee
===
FT: Tanzania 0-3 Morocco.
Kutoka kundi C, Tanzania inaaga mashindano ikiwa imefungwa jumla ya magoli 8 na kufunga 1 huku ikiwaacha Morocco, Ghana na Gambia wakisonga mbele hatua ya robo fainali.
Ana ubavu? Huyo aliyempa timu Jamuhuri achunguzwe, kapewa nini na Julio hadi kamzawadia timu?Julio albeto tarantin Pereira kiwelu ...tuvusheee mwambaaa